Taja member wawili ambao unahisi ni ndugu humu

Taja member wawili ambao unahisi ni ndugu humu

Kuna siku alikua anaongelea mambo ya mafuta sijui kuchimba mafuta na kulipa madeni alafu wewe na yeye ndo mlikua mnatawala..
Juzi hapo ukatoa uzi una msifia huyu mtu
Namsupport anapoongea facts tu, sio yale mambo yake kwamba ataleta ozone Tanzania, mara eti sayari ni nyota.
#DennisRobertsAnatosha
 
Namsupport anapoongea facts tu, sio yale mambo yake kwamba ataleta ozone Tanzania, mara eti sayari ni nyota.
#DennisRobertsAnatosha
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom