dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,965
- 13,552
Kasema hazipendi sana 😁😁😁😂😂😂Kumbe Edo nae huwa anavibe na RnB za kitambo e... Basi yaweza kuwa sisi ni mapacha wasiofanana.
Kasema hazipendi sana 😁😁😁😂😂😂Kumbe Edo nae huwa anavibe na RnB za kitambo e... Basi yaweza kuwa sisi ni mapacha wasiofanana.
Sina vibe nazo kivile mkuu😂😂😂Kumbe Edo nae huwa anavibe na RnB za kitambo e... Basi yaweza kuwa sisi ni mapacha wasiofanana.
dah hyo ndo sababu 😃😃😃Mnaelewana sana kwenye nyuzi, mnapenda Arsenal, mnapenda kucheka!
Hii ni Maajabu 🙆♀️
Nitake radhi mkuu 😂 Mm Siwez kuwa na undugu na watu wenye ndoto za kuwa marais
Basi ametusingizia mkuu😂😂Sina vibe nazo kivile mkuu
😀 Hahah ndio mkuudah hyo ndo sababu
Elemana parakwii shailaahHii ni Maajabu
Kwanini mkuu 😀
Hebu ongea vizuri Mkuu unajua unazingua 😎🙄Elemana parakwii shailaah
wacha kwanza nilie wuui wuui
😀
Kabisa ila anaweza kawa kapatia kutochangia thread za kipuuzi😂Basi ametusingizia mkuu😂😂
Anhaa siyo kweli mimi niwe shabiki wa Arsenal labda mninyongeMnaelewana sana kwenye nyuzi, mnapenda Arsenal, mnapenda kucheka!
Haha we team ganiAnhaa siyo kweli mimi niwe shabiki wa Arsenal labda mninyonge
😂😂Kabisa ila anaweza kawa kapatia kutochangia thread za kipuuzi😂
Mkuu mbona unamkataa ndguyoNitake radhi mkuu 😂 Mm Siwez kuwa na undugu na watu wenye ndoa za kuwa marais