Kasema hazipendi sana ππππππKumbe Edo nae huwa anavibe na RnB za kitambo e... Basi yaweza kuwa sisi ni mapacha wasiofanana.
Sina vibe nazo kivile mkuuπππKumbe Edo nae huwa anavibe na RnB za kitambo e... Basi yaweza kuwa sisi ni mapacha wasiofanana.
dah hyo ndo sababu πππMnaelewana sana kwenye nyuzi, mnapenda Arsenal, mnapenda kucheka!
Hii ni Maajabu πββοΈ
Nitake radhi mkuu π Mm Siwez kuwa na undugu na watu wenye ndoto za kuwa marais
Basi ametusingizia mkuuππSina vibe nazo kivile mkuu
π Hahah ndio mkuudah hyo ndo sababu
Elemana parakwii shailaahHii ni Maajabu
Kwanini mkuu π
Hebu ongea vizuri Mkuu unajua unazingua ππElemana parakwii shailaah
wacha kwanza nilie wuui wuui
π
Kabisa ila anaweza kawa kapatia kutochangia thread za kipuuziπBasi ametusingizia mkuuππ
Anhaa siyo kweli mimi niwe shabiki wa Arsenal labda mninyongeMnaelewana sana kwenye nyuzi, mnapenda Arsenal, mnapenda kucheka!
Haha we team ganiAnhaa siyo kweli mimi niwe shabiki wa Arsenal labda mninyonge
ππKabisa ila anaweza kawa kapatia kutochangia thread za kipuuziπ
Mkuu mbona unamkataa ndguyoNitake radhi mkuu π Mm Siwez kuwa na undugu na watu wenye ndoa za kuwa marais