Taja mkoa ambao hujawahi fika na huna mpango wa kufika na unajutia kufika mkoa gan

Point Makini kabisa Mkuu...Ngoja namimi nitafute Pesa!!! Nifike mpk Dongobeshi
 
natamani sana nifike kanda ya kati na kanda ya ziwa, haswa kanda ya ziwa nasikia tuu wanapasifia ila sijui kukoje, haswa nikifika pale nyegezi maana pamesifiwa sana mpaka kuleta tafrani nchini.
 
sijafika mikoa yote tofauti na Arusha, Kilimanjaro, Mbeya, morogoro,Tanga, Dar es salaam, pwani na iringa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…