Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Salaaam magreat thinkers
Leo tukiwa tunaendelea kusononeka baada ya shule kufunguliwa nimewaletea baadhi za faida za kuwa single ( bila kuoa)
1. Tuliosingle tunajiamini, watu waliosingle wanajiamini kila idara kutokana na uzoefu wa kukwepa mitego kadha wa kadha kutoka kwa wadada mfano.....hizi kelele za tozo huwezi kuzisikia kwasisi tulio single
2: Ni wazee wa kuspend, kumwagilia mioyo: ni ngumu mtu aliyesingle kumkuta anajibana kimatumizi always tuna ile kauli ya tumia pesa ikuzoee......lazima tumwagilie moyo
3. Waliosingle ni handsome..that's y ni wagumu kudate ....ili kuepuka kusambaza species zenye mionekano kama yao
Ongezea faida walizo nazo watu waliosingle( only positive )
..............