Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Tunajidangaya tu, kuwa single ni expensive sana, unajikuta una mechi zile za fasta unalipia lodge kila siku,msosi na demu lazima umpe hata ten ya nauli,

Bora kuwa na mahusiano ya kudumu, unapata papuchi muda wowote
Hahaha wee gharama ya kutunza demu ni kubwa kuliko kukamua maziwa. Uzuri wa kuwa single ni kwamba kwanza mbususu unabadilisha bila kuwaza oh sijui ninacheat.

Suala la gharama inategemea bwana...ukiwa huna unatuliza boli magheto unakuna pumbuz.
 
Amani , Uburu , Ni rahisi kupangilia bajeti kama ni mtu wa malengo , Wako focused , Wengi walio single ni wale ambao walipitishwa ubatizo wa moto na wapenzi wao.. hii inawapa nafasi ya kijijua zaidi na kurelflect what went Wrong kwenye previous relationship .
Wengine wataongezea....

NB :Hakuna mtu anaependa kuwa single kama amekamilika ni hali tu ya kukosa mtu sahihi at right time

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Ubatizo wa moto 😂😂
 
Huyo ni mke sasa, ngoja nikupe mfano, unaweka ndani pisi bila kuioa so mnaishi tu na ina kazi yake so mambo ya gas kuisha sio rahisi maana wote mnaondoka asubuhi kurudi jioni.

Mfano mwingine, unadate na demu mwenye geto lake, na kazi yake, wewe ni kwenda kupiga kila siku,mara moja moja unaenda na ka dumu ka mafuta na kagunia ka mchele, ni cheap
Wazee wa free boti😁
 
mwanamke akishapandishwa cheo kuwa Mke kuna tabia fulani inaibuka ghafla kujifanya siyo Mwanamke tena yule wa siku za nyuma ambaye alukiwa unamkula hata barabarani au mnabusiane kwenye gari au hata mkiwa mnakunywa zenu kvant mnashangalia yaani anakuwa na principal za kipuuzi muda wote.. Sijui shida inaanzia wapi.. Ila Ukweli Mashangazi wanaharibu wanawake pindi wakiolewa na hawa mashuga mami wa kittchen paart eti Ukiwa unakuna nazi uwe unakatika, sijui akiwa sebuleni pita na kanga moja ..Haya mafundisho ya wanawake wa Kibongo sijui walisomeaga wapi Mwanamke kupita na kanga moja au kukuna nazi unakata kiuno ndiyo kudumisha ndoa
Huyo alikua na tabia zake amezificha...a really woman never pretend. ..Shida watu wananza na kuonyesha classic life wkt sio maisha yao so ukirejea maisha yako unayoishi ndio anaona tofauti and she can change as well
 
Hahaha wee gharama ya kutunza demu ni kubwa kuliko kukamua maziwa. Uzuri wa kuwa single ni kwamba kwanza mbususu unabadilisha bila kuwaza oh sijui ninacheat.

Suala la gharama inategemea bwana...ukiwa huna unatuliza boli magheto unakuna pumbuz.
Pia inafuatana na ulimbukeni wa kuhonga[emoji23][emoji23]
 
Huyo alikua na tabia zake amezificha...a really woman never pretend. ..Shida watu wananza na kuonyesha classic life wkt sio maisha yao so ukirejea maisha yako unayoishi ndio anaona tofauti and she can change as well
Kabisa mkuu
 
Hahaha wee gharama ya kutunza demu ni kubwa kuliko kukamua maziwa. Uzuri wa kuwa single ni kwamba kwanza mbususu unabadilisha bila kuwaza oh sijui ninacheat.

Suala la gharama inategemea bwana...ukiwa huna unatuliza boli magheto unakuna pumbuz.
Kitu nakwepa ndio hiko ,inaanzaga unakuna pumbu,badae unashika kichwa,mara unaanzwa kuichezea ,mwisho unagonga nyeto😁
 
Back
Top Bottom