mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
[emoji41]Hawawezi fanya threesome na wake zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji41]Hawawezi fanya threesome na wake zao
🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna anayefurahia kuwa singo,
Endeleeni kujifariji.
baada ya mda 'unaichoka' tatizo, unamuona kama dada yakoMkuu.,..asa huoni kuwa aliyefuga ng'ombe ndiye anayefaidi zaidi fresh maziwa
Nikiwa na chenj mfukoni kila mtu namwona mwizi tu 🤣Unakuwa na mawazo ya kibakhresa[emoji23][emoji23]
Hahaha pumzi ninayo...nikizimia watanipepeaWamesema nikuulize swali hili " una pumzi"??[emoji23][emoji23][emoji23]
Salaaam magreat thinkers
Leo tukiwa tunaendelea kusononeka baada ya shule kufunguliwa nimewaletea baadhi za faida za kuwa single ( bila kuoa)
1. Tuliosingle tunajiamini, watu waliosingle wanajiamini kila idara kutokana na uzoefu wa kukwepa mitego kadha wa kadha kutoka kwa wadada mfano.....hizi kelele za tozo huwezi kuzisikia kwasisi tulio single
2: Ni wazee wa kuspend, kumwagilia mioyo: ni ngumu mtu aliyesingle kumkuta anajibana kimatumizi always tuna ile kauli ya tumia pesa ikuzoee......lazima tumwagilie moyo
3. Waliosingle ni handsome..that's y ni wagumu kudate ....ili kuepuka kusambaza species zenye mionekano kama yao
Ongezea faida walizo nazo watu waliosingle( only positive )
..............View attachment 2346407Najipikia mwenyewe kwa hiyo chakula changu hakina shombo za mikono. Unajua shombo za mikono wewe?
Hao wana miaka 80+ mie ndio kwanza 42Nadhani ulyasikia matukio mengi ya wazee kufia guests
Naziona ila ndio hivyo mfuko ukiwa umetuna wakija naona kama wanakuja kuniibia vile 😄 zikikaribia kuisha ndio nawazingatiaPisi Kali huzioni mwaisa[emoji23][emoji23]
Utakuja kuoa kweli mtani?kama hayo maswali tuu unaona mzigo!!...Vpi kuhusiana na haya maswali
1Mume wangu, gesi 2.imeisha.........mchele umeisha.
3.Mtoto anaumwa
4.Nguo za sikukuu
5.Mama yangu ( mke) utamjengea lin nyumba
6Nywele nutabadilisha lini 75k 1per 1week??????