Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Unialike?😀
Mm sio mdau wa hayo mambo kheri nife na genye kuliko hayo mambo
Unakufaje na genye mrembo wakati mtoto umeumbika upo sexy, kwanza yule ex wako leo kanichimba biti eti bado mpo pamoja. Ebu niambie ukweli bado mnadate?
 
Amani , Uburu , Ni rahisi kupangilia bajeti kama ni mtu wa malengo , Wako focused , Wengi walio single ni wale ambao walipitishwa ubatizo wa moto na wapenzi wao.. hii inawapa nafasi ya kijijua zaidi na kurelflect what went Wrong kwenye previous relationship .
Wengine wataongezea....

NB :Hakuna mtu anaependa kuwa single kama amekamilika ni hali tu ya kukosa mtu sahihi at right time

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Usingle basi tuu uwe wa kipindi kisichozidi miezi sita...zaidi ya hapo ni majanga tuu
 
Salaaam magreat thinkers

Leo tukiwa tunaendelea kusononeka baada ya shule kufunguliwa nimewaletea baadhi za faida za kuwa single ( bila kuoa)

1. Tuliosingle tunajiamini, watu waliosingle wanajiamini kila idara kutokana na uzoefu wa kukwepa mitego kadha wa kadha kutoka kwa wadada mfano.....hizi kelele za tozo huwezi kuzisikia kwasisi tulio single

2: Ni wazee wa kuspend, kumwagilia mioyo: ni ngumu mtu aliyesingle kumkuta anajibana kimatumizi always tuna ile kauli ya tumia pesa ikuzoee......lazima tumwagilie moyo

3. Waliosingle ni handsome..that's y ni wagumu kudate ....ili kuepuka kusambaza species zenye mionekano kama yao

Ongezea faida walizo nazo watu waliosingle( only positive )
..............View attachment 2346407
Hata nikirudi saa nane za usku hakuna makelele na mtu. Hata ni lale na viatu fresh tu. Ila nikiugua nauchukia usingle
 
Salaaam magreat thinkers

Leo tukiwa tunaendelea kusononeka baada ya shule kufunguliwa nimewaletea baadhi za faida za kuwa single ( bila kuoa)

1. Tuliosingle tunajiamini, watu waliosingle wanajiamini kila idara kutokana na uzoefu wa kukwepa mitego kadha wa kadha kutoka kwa wadada mfano.....hizi kelele za tozo huwezi kuzisikia kwasisi tulio single

2: Ni wazee wa kuspend, kumwagilia mioyo: ni ngumu mtu aliyesingle kumkuta anajibana kimatumizi always tuna ile kauli ya tumia pesa ikuzoee......lazima tumwagilie moyo

3. Waliosingle ni handsome..that's y ni wagumu kudate ....ili kuepuka kusambaza species zenye mionekano kama yao

Ongezea faida walizo nazo watu waliosingle( only positive )
..............View attachment 2346407
Kuwa single hakuna faida kubwa.
Isipokuwa pale unapogundua kuwa umefanya chaguo lisilo sahihi, ndipo unatamami kuwa single kwakuwa utakuwa una uhuru wa kuishi unavyotaka( ukiwa kwenye ndoa huwezi kuamua kuishi unavyotaka).
-Faida ni kuepuka bugudha na hasara mbaya
Mfano:
(1) Kuna jamaa mmoja alikatwa uume na mke wake( hasara kubwa kupita maelezo)
(2) Kuna jamaa alimwagiwa mafuta ya moto na kisha kufa.
(3) Kuna wanaume wanapewa kipigo na wake zao.
(4) kuhangaika kusuluhisha migogoro ya ndoa badala ya kufanya shughuli zingine ( Mfano: mume dini nyingine, halafu mwanamke mlokole).
(5) Ukosefu wa uaminifu huweza kupelekea maamuzi mabaya yanayo hatarisha maisha yako(Mfano: ukiua)
Kwahiyo, hasara hizo zingeepukwa kama jamaa hao kama wangekuwa single.
 
Unakufaje na genye mrembo wakati mtoto umeumbika upo sexy, kwanza yule ex wako leo kanichimba biti eti bado mpo pamoja. Ebu niambie ukweli bado mnadate?
Mbna Sina x humu
Hivo vitu haviishi ukiwa unakula vzuri lazima mwili uhitaji na utakufa utaacha watu wanaendelea kujisikia kusex 😂kupanga ni kuchagua zikuendeshe au wew uziendeshe
 
Marriage is the biggest scam of all time. hongereni sana vijana wa kiume ambao mmechagua kuwa single.endeleni hivyohivyo, nawaonea wivu sana.

Msije mkaingia katika mtego ambao sisi kaka zenu tuliingia miaka kadhaa iliyopita.
 
Mkuu.....unadhani waliosingle vitu gan special wanavikosa
Hamnavitu special lkn Kwa mm navoona ni upweke tu unaweza ukawa unakilakitu ndani unapika lkn ukashindwa kula ukatamni maybe ningekuwa na mtu hapa tule
Somtym uko bored ukatamni kuongea na mtu ukawa lonely tu

Kuna kuwa na bahat ya kuwa na mpenz Yuko bright akakusogeza sehemu hta isiwe pesa hta mawazo tu mkashare idea ni hivo

Kunamwili kuhitaji kuwa karibu na mtu kiss romance hug sidhn km ukinunua Malaya mtakiss 😂 mm naona upweke tu
 
Me naona kuwa single unajitesa how come udeki nyumba mwanaume na kupika hizo ni kazi za mwali..ila umempate mwali asiye na mapungufu ya kishenzi mfano matusi umalaya na kupenda kesi kingine mama mkwe asikuingilieni kukupigia pigia simu kuomba hela ovyo.
 
Salaaam magreat thinkers

Leo tukiwa tunaendelea kusononeka baada ya shule kufunguliwa nimewaletea baadhi za faida za kuwa single ( bila kuoa)

1. Tuliosingle tunajiamini, watu waliosingle wanajiamini kila idara kutokana na uzoefu wa kukwepa mitego kadha wa kadha kutoka kwa wadada mfano.....hizi kelele za tozo huwezi kuzisikia kwasisi tulio single

2: Ni wazee wa kuspend, kumwagilia mioyo: ni ngumu mtu aliyesingle kumkuta anajibana kimatumizi always tuna ile kauli ya tumia pesa ikuzoee......lazima tumwagilie moyo

3. Waliosingle ni handsome..that's y ni wagumu kudate ....ili kuepuka kusambaza species zenye mionekano kama yao

Ongezea faida walizo nazo watu waliosingle( only positive )
..............View attachment 2346407

Wenye ndoa walishakuwa single wakaona bora kuwa na ndoa, Sasa sijui Unataka wajifunze nini tena
 
Faida ya kuwa single. Ni kuwa unakuwa kama mwehu,chizi ,mtu aliechanganyikiwa,akipita mwanamke yeyote unamuita ita bila staha, unakuwa huna ratiba maalum, unaongea peke yako, unakula huku unatembea,kuoga mpaka ukumbuke,kiufupi kuwa single yan kuwa hujaoa unaonekana muhuni.na kwa mwanamke unaonekana una hila au malaya ,kiufupi hizo ndio faida za single
 
Naziona ila ndio hivyo mfuko ukiwa umetuna wakija naona kama wanakuja kuniibia vile [emoji1] zikikaribia kuisha ndio nawazingatia
Hawa watu.....wakiona unapesa wanakuchangamkia Sana....sijui wanajuaje
 
Utakuja kuoa kweli mtani?kama hayo maswali tuu unaona mzigo!!...
Wanawake hawana huruma......unakuta mzee homa imemchapa kalala......maza anaenda kumuuliza

....leo tunakula nini[emoji23][emoji23]?
 
Back
Top Bottom