Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Salaaam magreat thinkers

Leo tukiwa tunaendelea kusononeka baada ya shule kufunguliwa nimewaletea baadhi za faida za kuwa single ( bila kuoa)

1. Tuliosingle tunajiamini, watu waliosingle wanajiamini kila idara kutokana na uzoefu wa kukwepa mitego kadha wa kadha kutoka kwa wadada mfano.....hizi kelele za tozo huwezi kuzisikia kwasisi tulio single

2: Ni wazee wa kuspend, kumwagilia mioyo: ni ngumu mtu aliyesingle kumkuta anajibana kimatumizi always tuna ile kauli ya tumia pesa ikuzoee......lazima tumwagilie moyo

3. Waliosingle ni handsome..that's y ni wagumu kudate ....ili kuepuka kusambaza species zenye mionekano kama yao

Ongezea faida walizo nazo watu waliosingle( only positive )
..............View attachment 2346407
Hamna raha, labda tumsikilize Akinyele na Fvck Me for Free
 
Upike isipike ni tumbo lako tu ,lakininolewe Kila siku unakaribishwa na jiko ni lazima sio ombi.....ipite siku ukapiga ndo Ile unaambiwa uyuwanamke anakiburi....shwain...
Mkuu....sasa kupika kwa wanawake ni nature yenu.....why uone kama ni mzigo????
 
mwanamke akishapandishwa cheo kuwa Mke kuna tabia fulani inaibuka ghafla kujifanya siyo Mwanamke tena yule wa siku za nyuma ambaye alukiwa unamkula hata barabarani au mnabusiane kwenye gari au hata mkiwa mnakunywa zenu kvant mnashangalia yaani anakuwa na principal za kipuuzi muda wote.. Sijui shida inaanzia wapi.. Ila Ukweli Mashangazi wanaharibu wanawake pindi wakiolewa na hawa mashuga mami wa kittchen paart eti Ukiwa unakuna nazi uwe unakatika, sijui akiwa sebuleni pita na kanga moja ..Haya mafundisho ya wanawake wa Kibongo sijui walisomeaga wapi Mwanamke kupita na kanga moja au kukuna nazi unakata kiuno ndiyo kudumisha ndoa
Na bora hata wa zamani sasa hawa university holder .....sijui kama tutafika nao
 
Huyo ni mke sasa, ngoja nikupe mfano, unaweka ndani pisi bila kuioa so mnaishi tu na ina kazi yake so mambo ya gas kuisha sio rahisi maana wote mnaondoka asubuhi kurudi jioni.

Mfano mwingine, unadate na demu mwenye geto lake, na kazi yake, wewe ni kwenda kupiga kila siku,mara moja moja unaenda na ka dumu ka mafuta na kagunia ka mchele, ni cheap
Mkuu .....sasa hapo kidini ni sawa tu na upo single....ila unaendelea kufaidi papuchiiii[emoji23][emoji23]
 
Mwenye ndoa atajifunzaje Jambo ambalo ameshalipitia?

Akili zingine bhana!

Mtu kabla hajaoa alikuwa single, anajua in and out ya kuwa single alafu kisa kaoa uje umueleze faida ya kuwa single. Kweli?

Wenye ndoa ndio wanapaswa kusema wanachokipata ndoani ili single wajifunze.
Na Hilo suala kuna member humu alianzishiaga Uzi
Vp kuhusu wale ambao wameingia ndoani directly......(kulazimishwa)
 
Naona umeandika uzi huku ukiwa umesahau walio na ndoa waliwahi kuwa single...

Uzi wako hauna logic
Vp kuhusu wale ambao wameingia ndoani directly......(kulazimishwa

Bila kufaidi usingle uliokomaa

Kumbuka......hapa tunazungumzia hali ya kuto oa/ kuolewa but hamna ambacho unakosa
 
Back
Top Bottom