Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Biblia inasema tuishi na wake kwa akili, kwa hiyo sisi wenye wake tuna akili,ndio maana tumeoa, ukiwa huna akili huwezi kuishi na mwanamke. Over.
Mkuu ...mbna rate kubwa inaonyesha wanaume walio kwenye ndoa ndio hufariki mapema kuliko those singles????
 
Ila mnatakiwa mjue hata waliooa nao walishawahi kuwa single. Hakuna mtu aliyeoa bila kuwa single kwahiyo aliyeoa ana experience mbili
Vp wale walioa lkn warudi kuwa single¿?¿
 
Amani , Uburu , Ni rahisi kupangilia bajeti kama ni mtu wa malengo , Wako focused , Wengi walio single ni wale ambao walipitishwa ubatizo wa moto na wapenzi wao.. hii inawapa nafasi ya kijijua zaidi na kurelflect what went Wrong kwenye previous relationship .
Wengine wataongezea....

NB :Hakuna mtu anaependa kuwa single kama amekamilika ni hali tu ya kukosa mtu sahihi at right time

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Hebu fafanua hapo kwenye Uburu
 
Mwenye ndoa atajifunzaje Jambo ambalo ameshalipitia?

Akili zingine bhana!

Mtu kabla hajaoa alikuwa single, anajua in and out ya kuwa single alafu kisa kaoa uje umueleze faida ya kuwa single. Kweli?

Wenye ndoa ndio wanapaswa kusema wanachokipata ndoani ili single wajifunze.
Na Hilo suala kuna member humu alianzishiaga Uzi
utaleta maada yako na ww.
 
Ukiwa single stress za kijinga hamnaga, kama mm hapa saizi nawaza nimetumiwa nauli nawaza niileeee au niende kwa muhusikaaa.... Basi full shida
 
Ukiwa single stress za kijinga hamnaga, kama mm hapa saizi nawaza nimetumiwa nauli nawaza niileeee au niende kwa muhusikaaa.... Basi full shida
Kmmmmk [emoji23][emoji23][emoji23] nmekutumia nauli unawaza ule!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom