Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Aisee, hii ni logic gani sasa!!? Wenye ndoa hawana cha kujifunza kutoka kwa masingle. Ama hujui mtu mwenye ndoa alianza kwanza kama single? Wewe ndio unapaswa ujifunze kwa walio kwenye ndoa utoe tongotongo
Mkuu hii Kitu ni endless circle....kitaa ninachoishi hapa ...wengi walikua single wakaoa then now wapo single Tena.......hawataki mambo ya ndoa...

Unajua ni kwnn[emoji23][emoji23]
 
Amani , Uburu , Ni rahisi kupangilia bajeti kama ni mtu wa malengo , Wako focused , Wengi walio single ni wale ambao walipitishwa ubatizo wa moto na wapenzi wao.. hii inawapa nafasi ya kijijua zaidi na kurelflect what went Wrong kwenye previous relationship .
Wengine wataongezea....

NB :Hakuna mtu anaependa kuwa single kama amekamilika ni hali tu ya kukosa mtu sahihi at right time

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Nimecheka hapo ubatizo wa moto.
 
Mkuu hii Kitu ni endless circle....kitaa ninachoishi hapa ...wengi walikua single wakaoa then now wapo single Tena.......hawataki mambo ya ndoa...

Unajua ni kwnn[emoji23][emoji23]
Kwa sababu walipitia pande zote, hivyo mada hii haina mashiko. Single ushauri nini married ambaye ni single mstaafu?
 
Raha ya kua single kuwa huru kutoka na mtu yeyote na UKIONA numebeba chaja yangu ya simu kwenye mkopa ndio inakua kambi popote [emoji1787][emoji1787]
 
Raha ya kua single kuwa huru kutoka na mtu yeyote na UKIONA numebeba chaja yangu ya simu kwenye mkopa ndio inakua kambi popote [emoji1787][emoji1787]
Umemaanisha nini hapa mkuu......tupe madini ( kubeba chaja ya simu kwny mkoba))
 
Salaaam magreat thinkers

Leo tukiwa tunaendelea kusononeka baada ya shule kufunguliwa nimewaletea baadhi za faida za kuwa single ( bila kuoa)
Hamna raha sema hujapata mtu wa uhakika wa kushare nae maisha, japo ukitaka kipochi manyoya unapata.
 
Uwe kwenye ndoa/ Haupo kwenye ndoa. Raha hupewi na mtu ni lazima ujitengenezee wewe mwenyewe ndiyo utaona hiyo raha. Raha/Furaha sijajua kwako kipi umechagua !
Mkuu......kwan kunatofaut Kati ya raha na furaha[emoji23][emoji23]
 
Biblia inasema tuishi na wake kwa akili, kwa hiyo sisi wenye wake tuna akili,ndio maana tumeoa, ukiwa huna akili huwezi kuishi na mwanamke. Over.
 
Mwenye ndoa atajifunzaje Jambo ambalo ameshalipitia?

Akili zingine bhana!

Mtu kabla hajaoa alikuwa single, anajua in and out ya kuwa single alafu kisa kaoa uje umueleze faida ya kuwa single. Kweli?

Wenye ndoa ndio wanapaswa kusema wanachokipata ndoani ili single wajifunze.
Na Hilo suala kuna member humu alianzishiaga Uzi
Tatizo vijana wa ovyo kutoka fesi buku wameamia na huku.
 
Mkuu......kwan kunatofaut Kati ya raha na furaha
emoji23.png
emoji23.png
Raha ni matokeo ya furaha ambayo ikizidi ni karaha.
 
Back
Top Bottom