Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Biblia inasema tuishi na wake kwa akili, kwa hiyo sisi wenye wake tuna akili,ndio maana tumeoa, ukiwa huna akili huwezi kuishi na mwanamke. Over.
Mkuu ...mbna rate kubwa inaonyesha wanaume walio kwenye ndoa ndio hufariki mapema kuliko those singles????
 
Ila mnatakiwa mjue hata waliooa nao walishawahi kuwa single. Hakuna mtu aliyeoa bila kuwa single kwahiyo aliyeoa ana experience mbili
Vp wale walioa lkn warudi kuwa single¿?¿
 
Hebu fafanua hapo kwenye Uburu
 
utaleta maada yako na ww.
 
Ukiwa single stress za kijinga hamnaga, kama mm hapa saizi nawaza nimetumiwa nauli nawaza niileeee au niende kwa muhusikaaa.... Basi full shida
 
Ukiwa single stress za kijinga hamnaga, kama mm hapa saizi nawaza nimetumiwa nauli nawaza niileeee au niende kwa muhusikaaa.... Basi full shida
Kmmmmk [emoji23][emoji23][emoji23] nmekutumia nauli unawaza ule!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…