Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Ukiwa single, ukitaka kwenda Dubai, unaenda unabaki mpaka subuhi

Element Samaki Samaki, unaenda unabaki mpaka asubuhi

Uhuru Peak Point, Jangwani, Sea breeze unaenjoy tu!

Hakuna anayekupangia cha kufanya, kukuhoji, unavaa utakavyo, simu yako inabaki bila password, unakuwa huna hasira za hapa na pale, kabla ya kulala unavuta kimoja au unaelekea kwa wale dada zetu, huongi, ni rahisi kujenga

Yaani ni raha sana...Sasa hivi natokea KWETU PAZURI, nshalewa, naenda kujitupa kitandani mpaka saa 11, hakuna wa kuniuliza

Jamani niko single, Nainjoy... Japo sina kitu, Maisha ndo yale yale
 
Ukiumwa unatumia njia gani kujiuguza,..???
 
Vp wale walioa lkn warudi kuwa single¿?¿
Sasa hapo ndio kuna uwanja mpana kwa mtu wa dizain hiyo na anakuwa na sababu zake za kutoka kuoa hadi kurudi kuwa single. Sababu za watu wa aina hii zipo za Msingi, na wengine wanarudi kuwa single bila sababu za msingi sana.
 
Mimi siwez sema niko single mana nipo kwenye mahusiano na pombe hali ya kuwa bachelor imeniletea mahusiano mengine kabsa
 
Single unakuwa free but very lonely kweli.

Though najitahidi kuwa bize sana but it's so lonely
Njia za kuondoa loneliness

Check movies

Company ya washkaji

Music

Peruziii Jf

Kama hutimii hizo tafuta mwenza.......mkuu[emoji23][emoji23]
 
Sasa wakijifunzaa Raha za kuwa single au watakimbia ndoa zao?
Mkuu ...nadhani umelisikia tukio lililotekea huku kwetu mbeya[emoji23][emoji23]

Mwanandoa ka kill mke + watoto
 
Sasa hapo ndio kuna uwanja mpana kwa mtu wa dizain hiyo na anakuwa na sababu zake za kutoka kuoa hadi kurudi kuwa single. Sababu za watu wa aina hii zipo za Msingi, na wengine wanarudi kuwa single bila sababu za msingi sana.
Sasa mkuu....wew unaona Bora lipi hapo
 
Back
Top Bottom