Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Ha!ha!my friend ipo hivi,unaona hivyo kwasababu watu wa jamii forum wanaweza kuweka mambo yao wazi hapa jukwaani ila fb,tiktok n.k hawezi kueleza mikasa yao kwasababu platform zao hazifichi siri ila wanachapiwa sana kuliko hata wa humu jamii forumDAH pole sana ILA ka utafiti kangu HIVI KWANINI hum jamii forum NDO panaongoza WATU kuchapiwa haswa SIJUI huwa tunashida GANI kwa kweli ni kuchapiwa haswa...... Nazani humu wajuaji WENGI
Kwishaaaaaa
Bro Alex on beats yoow
Kaka ILA humu SHIDA ujuaji mwingi.Ha!ha!my friend ipo hivi,unaona hivyo kwasababu watu wa jamii forum wanaweza kuweka mambo yao wazi hapa jukwaani ila fb,tiktok n.k hawezi kueleza mikasa yao kwasababu platform zao hazifichi siri ila wanachapiwa sana kuliko hata wa humu jamii forum
Mimi wangu alienda police ccp moshi kule akapata mtu akapangiwa dodoma ..... karudi na kijamaaa nacho kipolisi ....kama kawaida nikaenda dodoma dem akanikana iliniuma jamaani kumbuka huyu dem nilimpigania sana maisha yake.. nikasema sababu kamchagua jamaa ngoja niwaache dem yuko makao makuuu polisi dodoma .... ila sababu najua tabia ya dem huwa ni kamalaya fulani tamaa ya pesa sana nikasema kama nimeumia hivi jamaa nae atapigwa tuHapo vip!!
Mimi enzi fulani baada ya kumaliza chuo,nilikutana na msichana mmoja na ikatokea kumpenda sana na ndani ya moyo wangu nikaadhimia kumuoa.
Ila sasa kipindi kile nipo kwenye hardtime hivi ila uwezo wa kumpa elfu 20,50 mpaka laki 2 ilikuwa sikosi,akiwa na shida nitapambana mpaka nimpatia jala.
Huyu demu akapata internship mahali,lakini sasa kwenye ile ofisi HR akamtaka na akafanikiwa kupita naye,aisee iliniuma sana.
Niliwaacha waendelee na mapenzi yao,mwisho wa picture kazalishwa kaachwa na kazi hana.
Katika hii Dunia kuna watu ambao ni wanaume na wanawake,ambao ni ma agent wa shetani wa kiharimu mipango mizuri na maisha ya watu wengine,Sometime jiulize leo kunamsichana ukitaka kumuoa tu,kua wanaume watamtokea wenye sifa mbalimbali,ambao hata huyo msichana hajatarajia,ila kiroho lengo lao nikutaka kuharibu tu huo mpango...na msicha mpumbavu hawezi kulitambua hili kwa wakati huo mpaka apigwe tukio.
Na wewe utakuwa na hela sana kuwaliko hao majamaa wa system .Mimi wangu alienda police ccp moshi kule akapata mtu akapangiwa dodoma ..... karudi na kijamaaa nacho kipolisi ....kama kawaida nikaenda dodoma dem akanikana iliniuma jamaani kumbuka huyu dem nilimpigania sana maisha yake.. nikasema sababu kamchagua jamaa ngoja niwaache dem yuko makao makuuu polisi dodoma .... ila sababu najua tabia ya dem huwa ni kamalaya fulani tamaa ya pesa sana nikasema kama nimeumia hivi jamaa nae atapigwa tu
Miezi sita sio mingi dem akampiga chini jamaa inaoneka wana ugomvi alivyonipigia simu nikajua anataka tu furaja ya muda nikaamua kumblock kote.....
Sasa huyo dem umalaya wake huwa anakuaga anaenda morogoro kwenye mashamba yake bob akifika huko kuna lijitu gani sijui huwa anaenda hapokei simu sasa alivyonipigia simu akasema anaenda morogoro nikakumbuka matukio aliyokuwq ananipiga kupitia morogoro nikaamua kublock
Na kibaya zaidi hicho kipolisi chenzie ni kitoto cha mama ...
Nilimpenda ila nilitamani kumuoa ila she too weak when it comes to money
Na mwisho ambae nilikubali aende mimi kama boss ashampoo nilitamani sana kumuoa ni mmoja ni d.c mmoja kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya na mama samia ni dc mzuri kuliko wote ..... yule nilikata tamaa baada ya yeye kuingia kwenye masystem bila mi kujua na nikawa na mdrive usiko tunatoka tunaenda bata kumbe kawa mke wa boss mkuu ...siku nilitumia meseji hiyo instagram achana na mke wa mtu....ile meseji hadi leo najua alikuwa boss mwenye
..kiukweli n mungu tu boss yule hata angeamua kunitumia wasio julikana ningepotea maana nilikuwa natimba usiku namchukua dem tunaenda viwanja namrudisha ....nilimpenda sana ila maisha now tofauti kawa mtu wa system mimi business man tu
😆😆Omba radh tafadhal kumbuk una dada zako, mzaz na mashangaaaz😆 nao tuwagroup wapi mkuuMke ni zaidi ya Matako tunayaona.
😀😀washezi kabisa,hamfaiKuna mwanaume nilishindwa kuwa nae sababu ya mwili mdogo, but nlikuwa nikimuangalia hivi namuona miakili yake mingi inavyomfikisha mbali. Na kweli yuko mbali saivi.
🤔Inabidi nitafute mbinu 10,000 za kuishi nao
Sio kwa mwendo huu