Kama alikua mrefu ungevumilia tu akuoe.Kuna mwanaume nilishindwa kuwa nae sababu ya mwili mdogo, but nlikuwa nikimuangalia hivi namuona miakili yake mingi inavyomfikisha mbali. Na kweli yuko mbali saivi.
Hapana he was short to me .Kama alikua mrefu ungevumilia tu akuoe.
Mkuu ulivyojua ni mtu wa mzito wewe ungejiongeza ungemgeuza fursa ya kiuchumi na si mapenzi tena, Mbona wao Wanawake wanatushinda akili wengi wao wakiwa kwenye mahusiano wanaingia kwa Marengo na Wana akili hao wanawake wanajua huyu nilienae baada ya muda atakua na pesa na Maisha mazuri ila anakua hakupendi na anaweza kujua hapa huyu hatoboi nipo nae nikipata chaka zuri na sepa.Mimi wangu alienda police ccp moshi kule akapata mtu akapangiwa dodoma ..... karudi na kijamaaa nacho kipolisi ....kama kawaida nikaenda dodoma dem akanikana iliniuma jamaani kumbuka huyu dem nilimpigania sana maisha yake.. nikasema sababu kamchagua jamaa ngoja niwaache dem yuko makao makuuu polisi dodoma .... ila sababu najua tabia ya dem huwa ni kamalaya fulani tamaa ya pesa sana nikasema kama nimeumia hivi jamaa nae atapigwa tu
Miezi sita sio mingi dem akampiga chini jamaa inaoneka wana ugomvi alivyonipigia simu nikajua anataka tu furaja ya muda nikaamua kumblock kote.....
Sasa huyo dem umalaya wake huwa anakuaga anaenda morogoro kwenye mashamba yake bob akifika huko kuna lijitu gani sijui huwa anaenda hapokei simu sasa alivyonipigia simu akasema anaenda morogoro nikakumbuka matukio aliyokuwq ananipiga kupitia morogoro nikaamua kublock
Na kibaya zaidi hicho kipolisi chenzie ni kitoto cha mama ...
Nilimpenda ila nilitamani kumuoa ila she z too weak when it comes to money
Na mwisho ambae nilikubali aende mimi kama boss ashampoo nilitamani sana kumuoa ni mmoja ni d.c mmoja kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya na mama samia ni dc mzuri kuliko wote narudia ni mzuri kuliko madc wote tanzania sitanii ..... yule nilikata tamaa baada ya yeye kuingia kwenye masystem bila mi kujua na nikawa na mdrive usiko tunatoka tunaenda bata kumbe kawa mke wa boss mkuu hapo naongelea 2019 to 2020 kabla hajawa dc ila kwenye system alikua tayari kaingia ...siku nilitumiwq meseji hiyo instagram "achana na mke wa mtu"....ile meseji hadi leo najua alikuwa boss mwenye
..kiukweli n mungu tu boss yule hata angeamua kunitumia wasio julikana sababu yeye alikufa boss of all bosses in TZ ningepotea maana nilikuwa natimba usiku namchukua dem tunaenda viwanja namrudisha ....nilimpenda sana ila maisha now tofauti kawa mtu wa system mimi business man tu
Kwani toka mwanzo hukulijua hilo?Hapana he was short to me .
Kabla sijaokoka.Nilikosa mke wa ndoto zangu ambaye tulipendana haswa.Lakini sikuwa mimi mapepo yalinivaa kipindi kileHapo vip!!
Mimi enzi fulani baada ya kumaliza chuo,nilikutana na msichana mmoja na ikatokea kumpenda sana na ndani ya moyo wangu nikaadhimia kumuoa.
Ila sasa kipindi kile nipo kwenye hardtime hivi ila uwezo wa kumpa elfu 20,50 mpaka laki 2 ilikuwa sikosi,akiwa na shida nitapambana mpaka nimpatia jala.
Huyu demu akapata internship mahali,lakini sasa kwenye ile ofisi HR akamtaka na akafanikiwa kupita naye,aisee iliniuma sana.
Niliwaacha waendelee na mapenzi yao,mwisho wa picture kazalishwa kaachwa na kazi hana.
Katika hii Dunia kuna watu ambao ni wanaume na wanawake,ambao ni ma agent wa shetani wa kiharimu mipango mizuri na maisha ya watu wengine,Sometime jiulize leo kunamsichana ukitaka kumuoa tu,kua wanaume watamtokea wenye sifa mbalimbali,ambao hata huyo msichana hajatarajia,ila kiroho lengo lao nikutaka kuharibu tu huo mpango...na msicha mpumbavu hawezi kulitambua hili kwa wakati huo mpaka apigwe tukio.
Hiyo kitu ilinishinda mkuuMkuu ulivyojua ni mtu wa mzito wewe ungejiongeza ungemgeuza fursa ya kiuchumi na si mapenzi tena, Mbona wao Wanawake wanatushinda akili wengi wao wakiwa kwenye mahusiano wanaingia kwa Marengo na Wana akili hao wanawake wanajua huyu nilienae baada ya muda atakua na pesa na Maisha mazuri ila anakua hakupendi na anaweza kujua hapa huyu hatoboi nipo nae nikipata chaka zuri na sepa.
Sio ontario huyo mkuu?Kuna mwanaume nilishindwa kuwa nae sababu ya mwili mdogo, but nlikuwa nikimuangalia hivi namuona miakili yake mingi inavyomfikisha mbali. Na kweli yuko mbali saivi.
Alikua demu wa jiwe nini?Mimi wangu alienda police ccp moshi kule akapata mtu akapangiwa dodoma ..... karudi na kijamaaa nacho kipolisi ....kama kawaida nikaenda dodoma dem akanikana iliniuma jamaani kumbuka huyu dem nilimpigania sana maisha yake.. nikasema sababu kamchagua jamaa ngoja niwaache dem yuko makao makuuu polisi dodoma .... ila sababu najua tabia ya dem huwa ni kamalaya fulani tamaa ya pesa sana nikasema kama nimeumia hivi jamaa nae atapigwa tu
Miezi sita sio mingi dem akampiga chini jamaa inaoneka wana ugomvi alivyonipigia simu nikajua anataka tu furaja ya muda nikaamua kumblock kote.....
Sasa huyo dem umalaya wake huwa anakuaga anaenda morogoro kwenye mashamba yake bob akifika huko kuna lijitu gani sijui huwa anaenda hapokei simu sasa alivyonipigia simu akasema anaenda morogoro nikakumbuka matukio aliyokuwq ananipiga kupitia morogoro nikaamua kublock
Na kibaya zaidi hicho kipolisi chenzie ni kitoto cha mama ...
Nilimpenda ila nilitamani kumuoa ila she z too weak when it comes to money
Na mwisho ambae nilikubali aende mimi kama boss ashampoo nilitamani sana kumuoa ni mmoja ni d.c mmoja kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya na mama samia ni dc mzuri kuliko wote narudia ni mzuri kuliko madc wote tanzania sitanii ..... yule nilikata tamaa baada ya yeye kuingia kwenye masystem bila mi kujua na nikawa na mdrive usiko tunatoka tunaenda bata kumbe kawa mke wa boss mkuu hapo naongelea 2019 to 2020 kabla hajawa dc ila kwenye system alikua tayari kaingia ...siku nilitumiwq meseji hiyo instagram "achana na mke wa mtu"....ile meseji hadi leo najua alikuwa boss mwenye
..kiukweli n mungu tu boss yule hata angeamua kunitumia wasio julikana sababu yeye alikufa boss of all bosses in TZ ningepotea maana nilikuwa natimba usiku namchukua dem tunaenda viwanja namrudisha ....nilimpenda sana ila maisha now tofauti kawa mtu wa system mimi business man tu
ulimpenda na ulitaka kumuoa na unasema ulijua ana tabia za kimalaya....😆Mimi wangu alienda police ccp moshi kule akapata mtu akapangiwa dodoma ..... karudi na kijamaaa nacho kipolisi ....kama kawaida nikaenda dodoma dem akanikana iliniuma jamaani kumbuka huyu dem nilimpigania sana maisha yake.. nikasema sababu kamchagua jamaa ngoja niwaache dem yuko makao makuuu polisi dodoma .... ila sababu najua tabia ya dem huwa ni kamalaya fulani tamaa ya pesa sana nikasema kama nimeumia hivi jamaa nae atapigwa tu
Miezi sita sio mingi dem akampiga chini jamaa inaoneka wana ugomvi alivyonipigia simu nikajua anataka tu furaja ya muda nikaamua kumblock kote.....
Sasa huyo dem umalaya wake huwa anakuaga anaenda morogoro kwenye mashamba yake bob akifika huko kuna lijitu gani sijui huwa anaenda hapokei simu sasa alivyonipigia simu akasema anaenda morogoro nikakumbuka matukio aliyokuwq ananipiga kupitia morogoro nikaamua kublock
Na kibaya zaidi hicho kipolisi chenzie ni kitoto cha mama ...
Nilimpenda ila nilitamani kumuoa ila she z too weak when it comes to money
Na mwisho ambae nilikubali aende mimi kama boss ashampoo nilitamani sana kumuoa ni mmoja ni d.c mmoja kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya na mama samia ni dc mzuri kuliko wote narudia ni mzuri kuliko madc wote tanzania sitanii ..... yule nilikata tamaa baada ya yeye kuingia kwenye masystem bila mi kujua na nikawa na mdrive usiko tunatoka tunaenda bata kumbe kawa mke wa boss mkuu hapo naongelea 2019 to 2020 kabla hajawa dc ila kwenye system alikua tayari kaingia ...siku nilitumiwq meseji hiyo instagram "achana na mke wa mtu"....ile meseji hadi leo najua alikuwa boss mwenye
..kiukweli n mungu tu boss yule hata angeamua kunitumia wasio julikana sababu yeye alikufa boss of all bosses in TZ ningepotea maana nilikuwa natimba usiku namchukua dem tunaenda viwanja namrudisha ....nilimpenda sana ila maisha now tofauti kawa mtu wa system mimi business man tu
Nilimpenda ila ana tabia fulani hivi siyoulimpenda na ulitaka kumuoa na unasema ulijua ana tabia za kimalaya....😆
wanawake wanapenda kwa mwanaume MUONEKANO,HAIBA,SHUGHULI na UKWASI...usililie mapenzi, HR alikupita katika hayo nawe hukuwa UMEOA bado😆Hapo vip!!
Mimi enzi fulani baada ya kumaliza chuo,nilikutana na msichana mmoja na ikatokea kumpenda sana na ndani ya moyo wangu nikaadhimia kumuoa.
Ila sasa kipindi kile nipo kwenye hardtime hivi ila uwezo wa kumpa elfu 20,50 mpaka laki 2 ilikuwa sikosi,akiwa na shida nitapambana mpaka nimpatia jala.
Huyu demu akapata internship mahali,lakini sasa kwenye ile ofisi HR akamtaka na akafanikiwa kupita naye,aisee iliniuma sana.
Niliwaacha waendelee na mapenzi yao,mwisho wa picture kazalishwa kaachwa na kazi hana.
Katika hii Dunia kuna watu ambao ni wanaume na wanawake,ambao ni ma agent wa shetani wa kiharimu mipango mizuri na maisha ya watu wengine,Sometime jiulize leo kunamsichana ukitaka kumuoa tu,kua wanaume watamtokea wenye sifa mbalimbali,ambao hata huyo msichana hajatarajia,ila kiroho lengo lao nikutaka kuharibu tu huo mpango...na msicha mpumbavu hawezi kulitambua hili kwa wakati huo mpaka apigwe tukio.
na kwa hiyo tabia ndio ilitakiwa umuache mapema...na pia ufurahi kwa hiko kipolisi kukupokea mwenge...USILIENilimpenda ila ana tabia fulani hivi siyo
watu wana roho ngumu sana aiseeAlikua demu wa jiwe nini?
Ha!ha!sio kweli..wakati wanawake wanaolewa na majitu yenye sura kama katapila kisa njaa na umaskini..yule ni njaa zake tu..Me handsome alihofia atashea sana na wengine akaona solution nikutafuta ligitu lake.wanawake wanapenda kwa mwanume MUONEKANO,HAIBA,SHUGHULI na UKWASI...usilie mapenzi HR alikupita katika hayo nawe humuwa UMEOA bado😆
Hapo mwsiho code nyepesi sana hiyoMimi wangu alienda police ccp moshi kule akapata mtu akapangiwa dodoma ..... karudi na kijamaaa nacho kipolisi ....kama kawaida nikaenda dodoma dem akanikana iliniuma jamaani kumbuka huyu dem nilimpigania sana maisha yake.. nikasema sababu kamchagua jamaa ngoja niwaache dem yuko makao makuuu polisi dodoma .... ila sababu najua tabia ya dem huwa ni kamalaya fulani tamaa ya pesa sana nikasema kama nimeumia hivi jamaa nae atapigwa tu
Miezi sita sio mingi dem akampiga chini jamaa inaoneka wana ugomvi alivyonipigia simu nikajua anataka tu furaja ya muda nikaamua kumblock kote.....
Sasa huyo dem umalaya wake huwa anakuaga anaenda morogoro kwenye mashamba yake bob akifika huko kuna lijitu gani sijui huwa anaenda hapokei simu sasa alivyonipigia simu akasema anaenda morogoro nikakumbuka matukio aliyokuwq ananipiga kupitia morogoro nikaamua kublock
Na kibaya zaidi hicho kipolisi chenzie ni kitoto cha mama ...
Nilimpenda ila nilitamani kumuoa ila she z too weak when it comes to money
Na mwisho ambae nilikubali aende mimi kama boss ashampoo nilitamani sana kumuoa ni mmoja ni d.c mmoja kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya na mama samia ni dc mzuri kuliko wote narudia ni mzuri kuliko madc wote tanzania sitanii ..... yule nilikata tamaa baada ya yeye kuingia kwenye masystem bila mi kujua na nikawa na mdrive usiko tunatoka tunaenda bata kumbe kawa mke wa boss mkuu hapo naongelea 2019 to 2020 kabla hajawa dc ila kwenye system alikua tayari kaingia ...siku nilitumiwq meseji hiyo instagram "achana na mke wa mtu"....ile meseji hadi leo najua alikuwa boss mwenye
..kiukweli n mungu tu boss yule hata angeamua kunitumia wasio julikana sababu yeye alikufa boss of all bosses in TZ ningepotea maana nilikuwa natimba usiku namchukua dem tunaenda viwanja namrudisha ....nilimpenda sana ila maisha now tofauti kawa mtu wa system mimi business man tu
OpenlyKokote pale watu wanachapiwa, ispokuwa humu watu wanathubu kusema kwa uwazi. Kuna kamsemo chao humu wanasemaga sijui kinaanzaje lakini mwishoni kinasema "where we dare to talk"