Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
- Thread starter
- #21
๐๐๐๐Yule mwanamke alikuwa mzuri wa uso na figa!
Nikaanzisha fujo ya muda mrefu tuachane ๐๐
raia walikuwa wanamgasi sana

Alinimiza sana aiseeMsenge tu yule kmamake..
๐ ni huzun ukikutana na hii situation aiseNilikuwa na mrangi huyo,,yule binti alikuwa kama Azam burudani kwa wote
Aisee!!Mungu amekupoza machungu asieeTrue Story
Kokote pale watu wanachapiwa, ispokuwa humu watu wanathubu kusema kwa uwazi. Kuna kamsemo chao humu wanasemaga sijui kinaanzaje lakini mwishoni kinasema "where we dare to talk"DAH pole sana ILA ka utafiti kangu HIVI KWANINI hum jamii forum NDO panaongoza WATU kuchapiwa haswa SIJUI huwa tunashida GANI kwa kweli ni kuchapiwa haswa...... Nazani humu wajuaji WENGI
Kwishaaaaaa
Bro Alex on beats yoow
๐๐๐๐๐ ni huzun ukikutana na hii situation aise
Asee pole sana mkuu NDO maisha. Ukiamua KUMTAFUTA Dem MKALI UNAWEZA PATA MKALI zaidi yake pia MUNGU ANAWEZA ingilia kati lolote likatokea man ENDELEA TU kuchakarika mkuu๐๐๐๐Mimi wangu alienda police ccp moshi kule akapata mtu akapangiwa dodoma ..... karudi na kijamaaa nacho kipolisi ....kama kawaida nikaenda dodoma dem akanikana iliniuma jamaani kumbuka huyu dem nilimpigania sana maisha yake.. nikasema sababu kamchagua jamaa ngoja niwaache dem yuko makao makuuu polisi dodoma .... ila sababu najua tabia ya dem huwa ni kamalaya fulani tamaa ya pesa sana nikasema kama nimeumia hivi jamaa nae atapigwa tu
Miezi sita sio mingi dem akampiga chini jamaa inaoneka wana ugomvi alivyonipigia simu nikajua anataka tu furaja ya muda nikaamua kumblock kote.....
Sasa huyo dem umalaya wake huwa anakuaga anaenda morogoro kwenye mashamba yake bob akifika huko kuna lijitu gani sijui huwa anaenda hapokei simu sasa alivyonipigia simu akasema anaenda morogoro nikakumbuka matukio aliyokuwq ananipiga kupitia morogoro nikaamua kublock
Na kibaya zaidi hicho kipolisi chenzie ni kitoto cha mama ...
Nilimpenda ila nilitamani kumuoa ila she z too weak when it comes to money
Na mwisho ambae nilikubali aende mimi kama boss ashampoo nilitamani sana kumuoa ni mmoja ni d.c mmoja kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya na mama samia ni dc mzuri kuliko wote narudia ni mzuri kuliko madc wote tanzania sitanii ..... yule nilikata tamaa baada ya yeye kuingia kwenye masystem bila mi kujua na nikawa na mdrive usiko tunatoka tunaenda bata kumbe kawa mke wa boss mkuu hapo naongelea 2019 to 2020 kabla hajawa dc ila kwenye system alikua tayari kaingia ...siku nilitumiwq meseji hiyo instagram "achana na mke wa mtu"....ile meseji hadi leo najua alikuwa boss mwenye
..kiukweli n mungu tu boss yule hata angeamua kunitumia wasio julikana ningepotea maana nilikuwa natimba usiku namchukua dem tunaenda viwanja namrudisha ....nilimpenda sana ila maisha now tofauti kawa mtu wa system mimi business man tu
๐๐๐๐
Mmmh okKokote pale watu wanachapiwa, ispokuwa humu watu wanathubu kusema kwa uwazi. Kuna kamsemo chao humu wanasemaga sijui kinaanzaje lakini mwishoni kinasema "where we dare to talk"
AiseeMimi wangu alienda police ccp moshi kule akapata mtu akapangiwa dodoma ..... karudi na kijamaaa nacho kipolisi ....kama kawaida nikaenda dodoma dem akanikana iliniuma jamaani kumbuka huyu dem nilimpigania sana maisha yake.. nikasema sababu kamchagua jamaa ngoja niwaache dem yuko makao makuuu polisi dodoma .... ila sababu najua tabia ya dem huwa ni kamalaya fulani tamaa ya pesa sana nikasema kama nimeumia hivi jamaa nae atapigwa tu
Miezi sita sio mingi dem akampiga chini jamaa inaoneka wana ugomvi alivyonipigia simu nikajua anataka tu furaja ya muda nikaamua kumblock kote.....
Sasa huyo dem umalaya wake huwa anakuaga anaenda morogoro kwenye mashamba yake bob akifika huko kuna lijitu gani sijui huwa anaenda hapokei simu sasa alivyonipigia simu akasema anaenda morogoro nikakumbuka matukio aliyokuwq ananipiga kupitia morogoro nikaamua kublock
Na kibaya zaidi hicho kipolisi chenzie ni kitoto cha mama ...
Nilimpenda ila nilitamani kumuoa ila she z too weak when it comes to money
Na mwisho ambae nilikubali aende mimi kama boss ashampoo nilitamani sana kumuoa ni mmoja ni d.c mmoja kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya na mama samia ni dc mzuri kuliko wote narudia ni mzuri kuliko madc wote tanzania sitanii ..... yule nilikata tamaa baada ya yeye kuingia kwenye masystem bila mi kujua na nikawa na mdrive usiko tunatoka tunaenda bata kumbe kawa mke wa boss mkuu hapo naongelea 2019 to 2020 kabla hajawa dc ila kwenye system alikua tayari kaingia ...siku nilitumiwq meseji hiyo instagram "achana na mke wa mtu"....ile meseji hadi leo najua alikuwa boss mwenye
..kiukweli n mungu tu boss yule hata angeamua kunitumia wasio julikana sababu yeye alikufa boss of all bosses in TZ ningepotea maana nilikuwa natimba usiku namchukua dem tunaenda viwanja namrudisha ....nilimpenda sana ila maisha now tofauti kawa mtu wa system mimi business man tu
Utata wake ndo uuweke sawaMkuu tatizo kauli niliyotoa ni tata ๐๐๐๐๐
NakubaliKokote pale watu wanachapiwa, ispokuwa humu watu wanathubu kusema kwa uwazi. Kuna kamsemo chao humu wanasemaga sijui kinaanzaje lakini mwishoni kinasema "where we dare to talk"
Usikute mpaka leo unajuta.Kuna mwanaume nilishindwa kuwa nae sababu ya mwili mdogo, but nlikuwa nikimuangalia hivi namuona miakili yake mingi inavyomfikisha mbali. Na kweli yuko mbali saivi.
Yap usifikirie kisasi juu kwa wasio na hatiaAisee!!Mungu amekupoza machungu asiee
Ila mwanangu nimecheka sanaNilikuwa na mrangi huyo,,yule binti alikuwa kama Azam burudani kwa wote
Magu alikua hana mchezo kwa tunda lake mdau.Mimi wangu alienda police ccp moshi kule akapata mtu akapangiwa dodoma ..... karudi na kijamaaa nacho kipolisi ....kama kawaida nikaenda dodoma dem akanikana iliniuma jamaani kumbuka huyu dem nilimpigania sana maisha yake.. nikasema sababu kamchagua jamaa ngoja niwaache dem yuko makao makuuu polisi dodoma .... ila sababu najua tabia ya dem huwa ni kamalaya fulani tamaa ya pesa sana nikasema kama nimeumia hivi jamaa nae atapigwa tu
Miezi sita sio mingi dem akampiga chini jamaa inaoneka wana ugomvi alivyonipigia simu nikajua anataka tu furaja ya muda nikaamua kumblock kote.....
Sasa huyo dem umalaya wake huwa anakuaga anaenda morogoro kwenye mashamba yake bob akifika huko kuna lijitu gani sijui huwa anaenda hapokei simu sasa alivyonipigia simu akasema anaenda morogoro nikakumbuka matukio aliyokuwq ananipiga kupitia morogoro nikaamua kublock
Na kibaya zaidi hicho kipolisi chenzie ni kitoto cha mama ...
Nilimpenda ila nilitamani kumuoa ila she z too weak when it comes to money
Na mwisho ambae nilikubali aende mimi kama boss ashampoo nilitamani sana kumuoa ni mmoja ni d.c mmoja kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya na mama samia ni dc mzuri kuliko wote narudia ni mzuri kuliko madc wote tanzania sitanii ..... yule nilikata tamaa baada ya yeye kuingia kwenye masystem bila mi kujua na nikawa na mdrive usiko tunatoka tunaenda bata kumbe kawa mke wa boss mkuu hapo naongelea 2019 to 2020 kabla hajawa dc ila kwenye system alikua tayari kaingia ...siku nilitumiwq meseji hiyo instagram "achana na mke wa mtu"....ile meseji hadi leo najua alikuwa boss mwenye
..kiukweli n mungu tu boss yule hata angeamua kunitumia wasio julikana sababu yeye alikufa boss of all bosses in TZ ningepotea maana nilikuwa natimba usiku namchukua dem tunaenda viwanja namrudisha ....nilimpenda sana ila maisha now tofauti kawa mtu wa system mimi business man tu
pombeHapo vip!!
Mimi enzi fulani baada ya kumaliza chuo,nilikutana na msichana mmoja na ikatokea kumpenda sana na ndani ya moyo wangu nikaadhimia kumuoa.
Ila sasa kipindi kile nipo kwenye hardtime hivi ila uwezo wa kumpa elfu 20,50 mpaka laki 2 ilikuwa sikosi,akiwa na shida nitapambana mpaka nimpatia jala.
Huyu demu akapata internship mahali,lakini sasa kwenye ile ofisi HR akamtaka na akafanikiwa kupita naye,aisee iliniuma sana.
Niliwaacha waendelee na mapenzi yao,mwisho wa picture kazalishwa kaachwa na kazi hana.
Katika hii Dunia kuna watu ambao ni wanaume na wanawake,ambao ni ma agent wa shetani wa kiharimu mipango mizuri na maisha ya watu wengine,Sometime jiulize leo kunamsichana ukitaka kumuoa tu,kua wanaume watamtokea wenye sifa mbalimbali,ambao hata huyo msichana hajatarajia,ila kiroho lengo lao nikutaka kuharibu tu huo mpango...na msicha mpumbavu hawezi kulitambua hili kwa wakati huo mpaka apigwe tukio.