Taja sababu iliyokuharibia ukashindwa kuwa na mahusiano na mwanamke uliyompenda kwa dhati

Taja sababu iliyokuharibia ukashindwa kuwa na mahusiano na mwanamke uliyompenda kwa dhati

Hiyo kitu ilinishinda mkuu
Kuna mambo kadhaa kwanini umeshindwa, hii hata mimi ningeshindwa.

1. Ni mtu ambae ulimpenda, kuona kwamba kuna mwanaume mwingine anatoka nae anaenda kumlala wewe kama mwanaume haya ni maumivu makali sana.

2. Mwanaume mwenye akili timamu na mpambanaji, anaamini sana ktk jasho lake na fikra zake. Huwezi tegemea pesa mwanaume mwenzio ambae anakuchapia mwanamke wako eti ndo ikuinue kimaisha, huu ni upuuzi wa mwisho kabisa wa kiume.
 
Nyeto ilisababisha nishindwe kumla Elizabeth niliyempenda sana
 
Kuna mwanaume nilishindwa kuwa nae sababu ya mwili mdogo, but nlikuwa nikimuangalia hivi namuona miakili yake mingi inavyomfikisha mbali. Na kweli yuko mbali saivi.
Na ka mwili nimekapata hata kama sio sana.
All in all asante sana
 
Back
Top Bottom