Taja sababu iliyokuharibia ukashindwa kuwa na mahusiano na mwanamke uliyompenda kwa dhati

DAH pole sana ILA ka utafiti kangu HIVI KWANINI hum jamii forum NDO panaongoza WATU kuchapiwa haswa SIJUI huwa tunashida GANI kwa kweli ni kuchapiwa haswa...... Nazani humu wajuaji WENGI


Kwishaaaaaa

Bro Alex on beats yoow
Kokote pale watu wanachapiwa, ispokuwa humu watu wanathubu kusema kwa uwazi. Kuna kamsemo chao humu wanasemaga sijui kinaanzaje lakini mwishoni kinasema "where we dare to talk"
 
Asee pole sana mkuu NDO maisha. Ukiamua KUMTAFUTA Dem MKALI UNAWEZA PATA MKALI zaidi yake pia MUNGU ANAWEZA ingilia kati lolote likatokea man ENDELEA TU kuchakarika mkuuπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™


Kwishaaaaaaa


Bro Alex on da beats yoow
 
Aisee
 
Magu alikua hana mchezo kwa tunda lake mdau.

Kina kiba na mondi walitulia kimyaaa wewe ukajiona kidume

Angekupa hata kesi ya uhujumu uchumi
 
pombe
 
Mchele mchele mchele mchele mchele mchele,
Kautaka mchele, kaufata mchele, kaupata mchele mchele mchele.....

Wote tuimbee, Mcheleee..... 🎢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…