Taja sababu iliyokuharibia ukashindwa kuwa na mahusiano na mwanamke uliyompenda kwa dhati

Kuna mwanaume nilishindwa kuwa nae sababu ya mwili mdogo, but nlikuwa nikimuangalia hivi namuona miakili yake mingi inavyomfikisha mbali. Na kweli yuko mbali saivi.
Kama alikua mrefu ungevumilia tu akuoe.
 
Mkuu ulivyojua ni mtu wa mzito wewe ungejiongeza ungemgeuza fursa ya kiuchumi na si mapenzi tena, Mbona wao Wanawake wanatushinda akili wengi wao wakiwa kwenye mahusiano wanaingia kwa Marengo na Wana akili hao wanawake wanajua huyu nilienae baada ya muda atakua na pesa na Maisha mazuri ila anakua hakupendi na anaweza kujua hapa huyu hatoboi nipo nae nikipata chaka zuri na sepa.
 
Kabla sijaokoka.Nilikosa mke wa ndoto zangu ambaye tulipendana haswa.Lakini sikuwa mimi mapepo yalinivaa kipindi kile
 
Tulikuwa kwenye uhusiano tangu akiwa O-level (mimi A-level) mpaka alipomaliza Chuo Kikuu.

Tumeanza mchakato wa ndoa, ninakuja kugundua miaka miwili nyuma (akiwa Chuo Kikuu) alitumia contraceptives kipindi nilikuwa Kenya kwa kazi ambayo ilituweka mbali kwa miezi 13.

Nikajiongeza ninataka kuoa cheater. Nikasitisha zoezi.
 
Hiyo kitu ilinishinda mkuu
 
Kuna mwanaume nilishindwa kuwa nae sababu ya mwili mdogo, but nlikuwa nikimuangalia hivi namuona miakili yake mingi inavyomfikisha mbali. Na kweli yuko mbali saivi.
Sio ontario huyo mkuu?
 
Alikua demu wa jiwe nini?
 
ulimpenda na ulitaka kumuoa na unasema ulijua ana tabia za kimalaya....😆
 
wanawake wanapenda kwa mwanaume MUONEKANO,HAIBA,SHUGHULI na UKWASI...usililie mapenzi, HR alikupita katika hayo nawe hukuwa UMEOA bado😆
 
wanawake wanapenda kwa mwanume MUONEKANO,HAIBA,SHUGHULI na UKWASI...usilie mapenzi HR alikupita katika hayo nawe humuwa UMEOA bado😆
Ha!ha!sio kweli..wakati wanawake wanaolewa na majitu yenye sura kama katapila kisa njaa na umaskini..yule ni njaa zake tu..Me handsome alihofia atashea sana na wengine akaona solution nikutafuta ligitu lake.
 
Hapo mwsiho code nyepesi sana hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…