Kuna mambo kadhaa kwanini umeshindwa, hii hata mimi ningeshindwa.
1. Ni mtu ambae ulimpenda, kuona kwamba kuna mwanaume mwingine anatoka nae anaenda kumlala wewe kama mwanaume haya ni maumivu makali sana.
2. Mwanaume mwenye akili timamu na mpambanaji, anaamini sana ktk jasho lake na fikra zake. Huwezi tegemea pesa mwanaume mwenzio ambae anakuchapia mwanamke wako eti ndo ikuinue kimaisha, huu ni upuuzi wa mwisho kabisa wa kiume.
Kuna mwanaume nilishindwa kuwa nae sababu ya mwili mdogo, but nlikuwa nikimuangalia hivi namuona miakili yake mingi inavyomfikisha mbali. Na kweli yuko mbali saivi.