Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Kufuatia kumalizika kwa Msimu wa 8 wa Game Of Thrones ambayo kimsingi imefikia ukingoni, leo tutaje Series 3 bora ambazo umewahi kutazama.

Mimi naanza na hizi
1. Breaking bad
2. Game of Thrones
3. 24

Braking bad Nipo S3 , series nimeikubali. Event zimepangili vizuri kinoma.

Top 3
-Suits
-Homeland
-Braking Bad

Bonus
Strike back
Seal team
 
1.Stranger things.
Kuna Madogo wana uwezo mkubwa na confidence ya kutosha.
2.Blind spot
Kurt weller,Jane doe & peterson wameplay part vizuri sana katika hii kazi|investigation & solving tattoo puzzle.
Bila kumsahau Mswahili/Mlugha lugha Richie.Com utapenda sana.

3.Breaking bad.
-Homeland
-24
-Gang of London
-All rise
-suits
Unaweza potezea masaa kadhaa kwa kutazama hizi picha.
 
hivi nipo peke yangu au tupo wengi ambao hatujaangalia hata kipande kimoja cha game of thrones ?

Me too. Napakua movies nyingi ila hio naipita pembeni sijui kwa nini.
 
El Chapo
Stranger things
La Casa De Papel
Drive to Survive
Queen Sono
Unabomber in his own words
Narcos
Ares
Russian Doll
Dirty money
The Witcher
Messiah
I am not ok with this
Locke and key
The letter foe king
The punisher
Sasa hivi namalizia Dare me
 
El Chapo
Stranger things
La Casa De Papel
Drive to Survive
Queen Sono
Unabomber in his own words
Narcos
Ares
Russian Doll
Dirty money
The Witcher
Messiah
I am not ok with this
Locke and key
The letter foe king
The punisher
Sasa hivi namalizia Dare me
Yaonekana unapendelea series za mapigano mapigano mkuu
 
1. prison break
2. breaking bad
3. American odyssey (sijui tu kwann haikuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…