Aisee we jamaa Kweli unajua. BREAKING BAD ni hatari sana, ikifuatiwa na Games of Thrones.
Mie nimemaliza
Mie nimemaliza
Kufuatia kumalizika kwa Msimu wa 8 wa Game Of Thrones ambayo kimsingi imefikia ukingoni, leo tutaje Series 3 bora ambazo umewahi kutazama.
Mimi naanza na hizi
1. Breaking bad
2. Game of Thrones
3. 24