Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Baada ya brody kunyongwa nilikaa kama mwezi hivi kutafuta pozi la kuendelea na next seasons.
Ila waarabu wanauwezo mkubwa sana kuigiza with reference to (series ya tyrant)
Tyrant si wamarekani wale au? Barry ni muingereza
 
1...NIKKITA
2... la casa de papel
3... Man called god ( choi kha ta)
 
Shida ya IRIS hadeo sijui majina japo ya wahusika wawili wa hii series... Napendaga sana zile nyimbo zao
Mkuu ile series ipo full package, kuanzia nyimbo, action na kila kitu, nyimbo zake ni tamu sana, nilikuwa nazo baadhi nikafuta, imebaki moja, ila huwa nikizimiss nazidownload.
 
Shida ya IRIS hadeo sijui majina japo ya wahusika wawili wa hii series... Napendaga sana zile nyimbo zao
Kim Tae-hee kama Choi Seung Hee, Lee Byung-hun kama Hyeon-jun Kim pamoja na Kim So-yeon kama Kim Seon-Hwa, zile nyimbo ikiingia tu youtube ukaandika IRIS sound tracks mzigo wote unamwagika mkuu.
 
kwangu Mimi nimeona nyingi ni nzuri, tatu bora napata shida kuchagua labda ingekuwa 10 bora. sawa wacha niweke 3bora
1. 24
2. Homeland
3. Queen of South
...............................Fast and Furious ****
4. Shooters
5. Striker Back( section 20)
6. Game of Thrones
 
Back
Top Bottom