Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Hollywood
The blacklist
Arrow
Prison break

Superhero series
Heroes
Agents of shield
Gifted

Kings and empires
Game of thrones
In to the badlands.
The vickings

Comedy
Friends
Blackish
Family

Korea
Jumong - the land of wind
City hunter
Iris

Bongo
Siri ya mtungi
Siri za familia
Na series yoyote ambayo angecheza Kanumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Game of throne
Breaking Bad
Ozark
Prison break
 
Hakuna series kali kama hii!
34567890-.jpg
 
1. 24
2. 24 Legacy (Too bad iliishia katikati)
3. Pruson Break.
4. Narcos
5. Designates Survivors (Ilianza vizuri Season 3 za mwanzoni baadae imevurugwa)
6. Jack Rayan
Nisamehe mkuu naona nimetaja zaidi
 
Nitaitafuta hii 24
Aisee hii series mpaka page hii imepigiwa promo kinoma na sijajua kama 24 ndio jina lake kamili au wamefupisha.

Maana nimeingia web nimekutana na 24 legacy, 24 hours nimebaki nimeduwaa sijui ipi kati ya hizo imepewa high rates hapa
 
Back
Top Bottom