Taja sifa za mashabiki wa Simba ( MAKOLo)

Taja sifa za mashabiki wa Simba ( MAKOLo)

Makolo Wana sifa ya kulalamika
Yalivo mbumbumbu yanasahau mapema
Wewe!hebu toa mwiko akili zikujie,akili zimewaganda na mawazo ya kina hamnazo,timu ya wananchi,wananchi gani wanaokaribia miaka 30 bila kufika makundi CACCL?NYINYI mpaka mtoe mwiko muweke pembeni bila kusahau mdako,rede,mwenge na madonga kwenye nembo yenu ndipo angalau akili zitakaa sawa
 
Mkuu.....naona umechanganya wali, kande, pilau,. Kwenye sahani moja[emoji23][emoji23]
Hapana, hakuna tofauti kati ya Yanga na ccm😆

Tunalalamika hatuna maendeleo kwa miaka yote pamoja na kwamba ccm wanashinda kimaghumashi.

Wananchi nao wanashinda kimaghumashi Lakini kimataifa ni sifuri.

Maendeleo hayana maghumashi, na mechi za kimataifa vilevile hazina maghumashi😄

Halafu fuatilia kama wananchi haibebwi na ccm.
 
Wewe!hebu toa mwiko akili zikujie,akili zimewaganda na mawazo ya kina hamnazo,timu ya wananchi,wananchi gani wanaokaribia miaka 30 bila kufika makundi CACCL?NYINYI mpaka mtoe mwiko muweke pembeni bila kusahau mdako,rede,mwenge na madonga kwenye nembo yenu ndipo angalau akili zitakaa sawa
Usipanic mkuu.....toa ushauri kwa MAKOLo
 
Naona mnajitekenya na kucheka wenyewe Utopolo
Hapana mkuu
FB_IMG_16668138589589832.jpg
 
Akili utazitoa wapi na pale utopoloni wapo wawili tu wenye akili,YEBO YEBO KUINGIA TU MAKUNDI MTIHANI,subiri uletewe ww
Kombe la shirikisho lazima litue bongo
 
Hapana, hakuna tofauti kati ya Yanga na ccm[emoji38]

Tunalalamika hatuna maendeleo kwa miaka yote pamoja na kwamba ccm wanashinda kimaghumashi.

Wananchi nao wanashinda kimaghumashi Lakini kimataifa ni sifuri.

Maendeleo hayana maghumashi, na mechi za kimataifa vilevile hazina maghumashi[emoji1]

Halafu fuatilia kama wananchi haibebwi na ccm.
Siasa na mpira .....havijawahi kuwa pamoja
 
Yanga,gongowazi,yeboyebo,utopolo,nyani fc,kinyes fc,wabingwa wa somo la hadith,visasili na hekaya za kufikirika kwamba ni siku timu ya gongowaz itafika hata makundi ya vilabu vizee visivyo na malengo tofauti na kuifunga simba tu
 
Ndg Wana JF ...
Utafiti nilioufanya mwaka jana, niligundua mashabiki wa Simba ni sawa na waaumini wa ufufuo na uzima. Huwezi kushindana nao kwa kubishana.

Hizi Ni baadhi ya sifa za makolo

1. Wepesi wa kumtafuta mchawi (3rd part) pale timu Inafanya vibaya, watamtafuta wakumuwajibisha fasta.....mfano one day tutashuhudia yule CEO akiitisha press ya kumtimua Mwamedi[emoji23]

2. Waongeaji na wanakele Sana that's y wakifungwa unaweza kuta jiji limetulia

3. Wana too much expectations than uwezo walionao ( dharau na viburi)

Sifa za wananchi

1. Wavumilivu, hata timu ifanye vibaya watajipa muda kwaajili ya kuruhusu kufanya mabadiliko. Mfano issue ya prof. Nabi bado anaungwa mkono ingawa timu haikufanya vzr

Je! Unazifahamu sifa zipi za mashabiki wa Simba ( makolo)View attachment 2401039
Sifa nyingine ya Makolo ni WAPUMBAVU.
 
Yanga,gongowazi,yeboyebo,utopolo,nyani fc,kinyes fc,wabingwa wa somo la hadith,visasili na hekaya za kufikirika kwamba ni siku timu ya gongowaz itafika hata makundi ya vilabu vizee visivyo na malengo tofauti na kuifunga simba tu
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom