Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,557
- 7,367
Nenda kwa wahindinilikuwa nafanya hivo mwanzo maana material mengi ya chuo yalikuwa kwenye simu.baadae nikaambiwa nikaacha lakin tayari betri liliathirika.hapa natafuta namna ya kunua betri nyingine tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya ku upgrade bongo hamna mkuu 🙂Hahahaha na kweli mtu anaweza iwazia toyota Vitz [emoji23]
uliionaje camera yake na internet network yake.Ya hovyo sana, nilikuwa nayo 2013 ilinizingua, haikubali huduma zote za (* service), mfano, mpesa, tigo pesa! Pia huwezi kupakua app kutoka nje ya "market place" yake km android. Yenyewe inatumia windows!
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna mmoja kaielezea hapaHapana inakuaje?
Ya hovyo sana, nilikuwa nayo 2013 ilinizingua, haikubali huduma zote za (* service), mfano, mpesa, tigo pesa! Pia huwezi kupakua app kutoka nje ya "market place" yake km android. Yenyewe inatumia windows!
Sent using Jamii Forums mobile app
Naikubali sana, ndo natumia had ss. Chaj siku 3. Ila zinateleza balaa, nishavunja kioo mara 3 na kioo laki 1Tecno L9 plus, ukichaji umechaji, unasahau hata mahali ulipoiweka chaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, hivi hizi simu bado zipo? Kiukweli nina L8 huu ni mwaka wa 3 mpaka huwa nikishika naigeuza geuza mara mbilimbili kwamba hii ni simu ya aina gani isiyoisha chajiTecno L9 plus, ukichaji umechaji, unasahau hata mahali ulipoiweka chaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Yangu ni L8 ina betri la 5050h hapa nilipo ina siku tatu na data huwa sizimiHiyo ndio ile yenye battery ya 5000mAh?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Bonge la simu daah *Symbian* wameshaizika earphone mda wote ziko masikioniKama ni suala la simu tulizowahi tumia basi mi sitoisahau nokia 5800 express music
Sent using Jamii Forums mobile app
Yees...Tecno L9 plus, ukichaji umechaji, unasahau hata mahali ulipoiweka chaji
Sent using Jamii Forums mobile app