Taja simu unayoikubali sana uliyowahi kuimiliki

Taja simu unayoikubali sana uliyowahi kuimiliki

Samsung S series zote nimetumia kasoro S10 ndo naisubiri... kwa upande wa iPhone nimeipenda iPhone XS na ndiyo naitumia...

All the time nimekua fan wa two brands Samsung na IPhone na hutumia models zote Za kila mwaka mfano now nina Samsung S9 plus na iPhone XS...

Uzoefu ni kwamba hazisumbui pia ni value for money.
Mkuu utawapanikisha vijana,hawajui mambo ya contract haya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale ambao hatuna simu maalum mradi tumeachiwa au labda tumeokota kahela tukanunua mtumba,na ikitokea imeharibika au kuibwa inachukua miez kibao kupata simu nyingine

TUNARUHUSIWA KUCOMENT HUMU?
 
FERO Royale X1

Mwaka wa tatu wa matumizi bila Glass Protector ndo kioo kimetatuka. Ni bonge la Simu Janja sijui ntapata wapi kioo japo bado naweza tumia kusoma nyuzi humu.
 
Urongoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hiyooo t 630
Screenshot_2019-03-10-15-51-36.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom