Taja tabia yako/mazoea yako fulani hivi ambayo huyapendi na unasumbuka kuiacha/kuyaacha please don't be shy someone might give you a solution here

Mungu kakutuma wewe,hongera,

Mwanangu anathema anaomba chipsi[emoji23]
 
Mie dada wa kazi hata nimfokee hachukulii serious 🤣🤣🤣 Nikitaka nimseme serious hadi nialike watu wenye heshima zao🤣🤣🤣
Hapa nipo mbali naye atanikusanyia matukio yote ya home. 🤣🤣🤣
Dada mmbea sijaona!!!🙌
Na ndo anayeniharibu na content zake
 
Mie dada wa kazi hata nimfokee hachukulii serious 🤣🤣🤣 Nikitaka nimseme serious hadi nialike watu wenye heshima zao🤣🤣🤣
Unaone wewe MTU wa Watu Sana. Safi.
 
Aisee nainjoi kuwa pekeangu lakn kiukwel nakwama mambo mengi pia
 
H Ii tabia nzur sana akiws nayo mtoto wa kike
 
Mie dada wa kazi hata nimfokee hachukulii serious 🤣🤣🤣 Nikitaka nimseme serious hadi nialike watu wenye heshima zao🤣🤣🤣
Inamaana wewe ni mpole sana..
 
Hahahaah kama ya chama letu. Wewe unafaa sana kwenye sihasa [emoji23]
 
Bila shaka ushaliwa kimasihara pia. Hili halina ubisha kwa watu wa kariba yako. Nasubiria uthibitisho [emoji23]
 
Bila shaka ushaliwa kimasihara pia. Hili halina ubisha kwa watu wa kariba yako. Nasubiria uthibitisho [emoji23]
Kimasihara sijawahi always nakua mbele ya muda, nikishaisoma akili yako na unachokiwaza nakuchana makavu huku nakucheka. Halafu na magonjwa yaliyojaa nifanye michezo ya walevi kweli?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…