mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 23,965
- 131,949
Mungu kakutuma wewe,hongera,Wakuu bado napambana nishinde hii tabia ya kuonea huruma wanawake. Ukiachilia mbali wapenzi wanaonipiga vizinga ila kuna hawa single maza huwa wakiniambia shida zao najikuta tu nimesaidia. Nimejitahidi kuwa mgumu lakini naona ni kama vile kitu kipo damuni. Au nifungue charity organisation?
Mwanangu anathema anaomba chipsi[emoji23]