Taja Top 10 yako ya Miss JamiiForums

Mimi huko kwenye umiss mnitoe, labda mkiweka list ya maMrs. au wanawake wazee wanaopenda mibinuko ๐Ÿ˜Ž



Hiyo list yote tuna makendre yeye Miss kamuona wapi? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Tunasoma huku tunabinya binya vinyanya vyetu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Mapisi wa watu wanakoroma huko kesho wanashtukizwa kwenye mashindano ya umiss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ