Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
HAKUNA ATAKAEKUJA KUKUOKOA:
Hakuna jambo linaloundwa special kwa ajili yako, hakuna muujiza wa kukuuokoa, hakuna rafiki atakae kung'oa katika hilo pito lako, hakuna malipo ya unyenyekevu wako, hakuna karma ya mateso uliopitia eti uje upate raha.
Watu wamegeukwa hadi na baba zao wa kuwazaa, watu wametupwa chini na walio wasaidia nyuma.
Maisha ni wewe, circle iliopo karibu yako sio kwamba imekuja kimazingara ni wewe ndio umeivuta na aura yako.
Kwa hio msaada wako ni wewe, wewe ndio msaada wako
JASUSI COHEN