Taja ukweli mmoja mchungu kuhusu maisha ambao imebidi ukubaliane nao?

HAKUNA ATAKAEKUJA KUKUOKOA:
Hakuna jambo linaloundwa special kwa ajili yako, hakuna muujiza wa kukuuokoa, hakuna rafiki atakae kung'oa katika hilo pito lako, hakuna malipo ya unyenyekevu wako, hakuna karma ya mateso uliopitia eti uje upate raha.

Watu wamegeukwa hadi na baba zao wa kuwazaa, watu wametupwa chini na walio wasaidia nyuma.

Maisha ni wewe, circle iliopo karibu yako sio kwamba imekuja kimazingara ni wewe ndio umeivuta na aura yako.

Kwa hio msaada wako ni wewe, wewe ndio msaada wako

JASUSI COHEN

Hakuna haki yakuletewa haki haiombwi na duniani hamna haki ila ni yakuigawana ikibidi hata kwa kutoana jasho.
 
🤣🤣🤣 Seran umeekomboa vijana kwa kuntu hizi hongera
Jasusi jasusi jasusi nimekuita mara tatu ndugu yangu ,usirudie kuniita kijana muulize hata Seran anajua ni kiasi gani ukiniita hivyo mood ya siku inaweza kufa

Nb:Niombe msamaha roho yangu iwe sawa ili uokoe walau watanzania kumi wanaoumwa ambao wanaweza kupita mikononi mwangu leo nikawahudumia vibaya kwasababu umenitukana ndugu
 
SAMAHANI SANA NDUGU YANGU🙏
 
Kwahiyo akuiteje😂
 
1. Kutofatilia mambo ya kipuuzi, jikte kutafuta.
2. Watu watajisogeza kwako kama wana ktu watapata kwako nje ya hapo ww ni mbwa tu kwao.
3. Sitakiwi tegemea kusaidiwa na mtu nikipata niwe ni mimi nikikosa niwe ni mimi.
4. Wanadamu wengi hawapend maendeleo ya mtu.
5. Hakuna upendo wa dhati toka kwa mwanamke kwa mtoto asiye wake.
6. Ukioa hakiksha kama unaishi na nduguzo fatilia sn uwenda wananyanyaswa sn na mkeo ila ww hujui na hawawez kukwambia. Utastuka wanaondoka kimya kimya na hutowaona tena kwako.
7. Usipende kujitetea sn kwa watu acha waseme na waamini wanachofkiri kuhusu ww, kama huna hatia we songa mbele.
8. Ndugu wengi wanataman wafke kwako wajue una maisha gn si kwa nia ya kukusalimia.
9. Kuoa mke anaweza kuja kukugombanisha ww na ndugu zako, wazazi wako uspotumia akili sn utajikuta umebaki ww pekee na mkeo, umeachwa na wazazi wako na nduguzo.
10. Ukimya ni hekma kutoka kwa MUNGU ukiweza kunyamaza na kutokusema mambo yako kwa watu na kutoyasema ya watu umewawin raia wengi. wasjue yako nawe usjue yao
💯💯💯💯
 
NILIPOSINGIZIWA WIZI WA PASI
Wakati najitafuta ndo nimeamua kutoka home begi langu la nguo nliliweka kwa ndugu yng mtoto wa aunt yng ilikuwa jiran tu na home.
Lengo kuliweka hapo lilikuwa na kuchukua nguo kadhaa za muhmu zngne takuwa nakuja sku niktaman kuvaa nguo fulani, kweli nlikuwa napotea hata wk 2 ksha naibuka usku nalala hapo asbh sn nasepa na sku zngne nlikuwa naibuka simkuti yule ndugu yng, geto kwake alikuwa hana mazoea ya kupafunga.
Siku moja niliibuka usku nikamkuta wkt nacheki nguo nataka kunyoosha nikamuulizia pasi, akasema kuna wahuni wamepta nayo, nikasema poa maana we nae hufungagi geto lako.
Alfajiri nikasepa zlipta kama wk 3 kumbe huko ananizushia nimemuibia pasi akaenda mpk home anawambia mi nimemuibia pasi, jion 1 nikiwa na demu wng akatuma sms kwng kwmb mi ni mwiz ndiye nimeiba pasi, akamtumia na demu wng kwmb uyo jamaa yako ni mwiz mwambie akija aje abebe begi lake kaniibia pasi.
Sku iyoiyo nliendako aisee nliumia sn na nlilia kbs why me? Nlibeba begi langu nikasepa zng staki tena shobo
 
Aiseee haya ni matukio hatari🔥🔥🔥
 
Ukweli mchungu niliokuja kuujua baadaye ni kwamba, mapenzi na pesa huwezi kutenganisha..nilipoteza muda mwingi kushawishi nipendwe ihali Sina chochote!

Mapenzi ni nini?

Hakuna kupendwa kwa sababu una pesa, ukifikiri umependwa kwa sababu una pesa, au umependwa kwa kiwa na oesa, ujue hapo umefanywa fursa hiyo ni biashara.
 
HAKUNA ATAKAEKUJA KUKUOKOA:
Hakuna jambo linaloundwa special kwa ajili yako, hakuna muujiza wa kukuuokoa, hakuna rafiki atakae kung'oa katika hilo pito lako, hakuna malipo ya unyenyekevu wako, hakuna karma ya mateso uliopitia eti uje upate raha.

Watu wamegeukwa hadi na baba zao wa kuwazaa, watu wametupwa chini na walio wasaidia nyuma.

Maisha ni wewe, circle iliopo karibu yako sio kwamba imekuja kimazingara ni wewe ndio umeivuta na aura yako.

Kwa hio msaada wako ni wewe, wewe ndio msaada wako

JASUSI COHEN
Juhudi,maarifa havitoshi kushinda kudra
 
Tafauti na hayo ni sawa sawa na mtu umeumbwa arafu hautaki kuishi, unataka mtu mwingine au Mungu akuishie maisha yako ambapo ni sawa sawa na usingeumbwa tu.
HAKUNA ATAKAEKUJA KUKUOKOA:
Hakuna jambo linaloundwa special kwa ajili yako, hakuna muujiza wa kukuuokoa, hakuna rafiki atakae kung'oa katika hilo pito lako, hakuna malipo ya unyenyekevu wako, hakuna karma ya mateso uliopitia eti uje upate raha.

Watu wamegeukwa hadi na baba zao wa kuwazaa, watu wametupwa chini na walio wasaidia nyuma.

Maisha ni wewe, circle iliopo karibu yako sio kwamba imekuja kimazingara ni wewe ndio umeivuta na aura yako.

Kwa hio msaada wako ni wewe, wewe ndio msaada wako

JASUSI COHEN
Mfumo mzima wa maisha nyanja zote sasa hivi ni mchungu sana (tumepigwa)
 
Back
Top Bottom