Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
UMUGHAKA hebu njoo hukuKuna uchawi/ushirikina/wanga zote kamba tu story za kusadikika.
Hii ni kweli kabisaEti mtu akifa anazaliwa tena
Hii inenikumbusha wakati nasoma Ngudu, kumbe walikuwa wanatekwa, wanauliwa, wanapelekwa Nyarugusu machimboniZeruzeru hua hawafi bali hupotea tu.
Siku hizi bodaboda ndio mchawi wa benki za DarMagari aina ya Range Rover hayaruhusiwi kusimama karibu na Benki.