Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Ukila nyama ya utumbo utaota mapunye au utumbo kujikuja, na ukila maini ini litajigeuza hivyo hautakiwi kula Kabisa mbali wanaoruhusiwa kula ni wakubwa tu na kingine kula nyama ya kuku mtoto anatakiwa kula miguu kwani kutamfanya kukimbia sana, Hapa ilinifanya kuona wakubwa wakilamba vidali na mapaja ya kuku huku sie watoto tukilamba miguu kuku
 
Ukichana au kukanyaga kitabu cha msahafu basi hapo hapo utakufa au kuwa kichaa.

Sasa kulikuwa na mwamba mmoja tukiwa primary, kwenye ubishani kuhusu hilo yeye huo mkwara akaamua kuuvunja, akachana kitabu na kukikanyaga hicho kitabu kwa hasira, hakuna kitu kilitokea na maisha yakaendelea mpaka leo.
 
Back
Top Bottom