Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Kunyonyesha tuvidudu tunatoelea mtoni unakuwa na manyonyo makubwa kama Mdada,kumbe uvimbe ule unatokana na sumu ya kung'atwa.ukilala ukaamka huna matiti tena
Tule tuvidudu tunaitwa "NDENGELA"
 
Ukuf****wa unatakiwa uvae nepi au pampers maana utakuwa kama una fistula. Nimeangalia wote waliokuwa wanafanywa ivo tangu sekondary mpk chuo sijaona wakitokwa na chochote wala wakivaa pampers. So uongo mwingine unabomoa wala haujengi. Mwelimishe mtt the actual thing sio kumtisha.
 
Mimi sitosahau nilivyoambiwa mkiwa na dish la TV nyumbani kwenu basi mtaona sinema za X kwani huko Ulaya hivyo ni vitu vya kawaida sana, yaani baba, mama na watoto mnakaa sebuleni kuangalia watu wakinyanduana
Kama ulipitwa ni wewe, channel e ya south africa ilikuwa ikifika saa 7, saa za east africa wanaanza kuonesha sinema za ngono.

Ukute kwenu mlikuwa hamna hiyo channel
 
TV channel hiyo ilikuwa inaitwaje?
Ilikuwa inaitwa channel e ipo South Africa, ilikuwa inapatikana kwenye madish makubwa yale ya fta, katika lnb ya ku kale kadogo. Zamani nilikuwa nikifunga madish haya makubwa ya fta ya futi 6 na futi 8 yale ya nyavu, yalikuwa yakitumia decorder za fta. Ilikuwa channel za bongo unazipata kwenye lnb kubwa then anayetaka hiyo vhannel e unamuwekea lnb ndogo unapata hiyo channel na wengi walikuwa wakipenda hiyo channel kwa sababu usiku kuanzia saa 7 wanaweka movie zenye maudhui ya ngono.
 
TV channel hiyo ilikuwa inaitwaje?
e.tv
200px-ETV_logo_2008.svg.png
 
Ukikojolea mahali mwenzako kakojolea Mama yako anavimba maziwa[emoji23]

Saida kaloli anaishi Juu ya kilele Cha mlima Kilimanjaro [emoji23][emoji23]

Ndege ikitua katika majani inalipuka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom