Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Ule mtihani wa form 4 ukiwa mgumu wanasema mwaka huu ilikua zamu ya wanachuo kutunga.
Mpaka sasa nimesoma vyuo zaidi ya vitatu.
Na miaka zaidi ya 8 sijaona zamu ya wanachuo kutunga wala kusahisha mpaka na graduate 🤨
 
girles alitudanganya kuwa niwakike kumbe nilibabu lishogatuu
 
Ule mtihani wa form 4 ukiwa mgumu wanasema mwaka huu ilikua zamu ya wanachuo kutunga.
Mpaka sasa nimesoma vyuo zaidi ya vitatu.
Na miaka zaidi ya 8 sijaona zamu ya wanachuo kutunga wala kusahisha mpaka na graduate [emoji2955]
Dah hii wanafunzi wengi wanadanganyana[emoji28]
 
Kunyonyesha tuvidudu tunatoelea mtoni unakuwa na manyonyo makubwa kama Mdada,kumbe uvimbe ule unatokana na sumu ya kung'atwa.ukilala ukaamka huna matiti tena
 
Kumchungulia dudu mbaba au mkaka anapokojoa utapofuka macho
 
Kumcheka MTU Mwenye kithembe nawe utakuwa ivoivo
 
Firigisi ni ya baba,paja la wageni na kipapatio ni cha mama....miguu,kichwa na shingo ni vya watoto
 
Afu eti ile ilikua inaitwa kufanya matusi wakati jina lake wote tulijua sasahiv ni kitu tamu iliyompa Rick Boy umaarufu 😂😂
 
Back
Top Bottom