Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Umeme(Tanesco) huzalishwa baharini Kwa kutia waya MBILI huku na kule. Then tz nzima tunapata umeme,
 
Eti Yanga sc ni timu ya kimataifa ⁉️
 
Ukikojoa njiani pasina kutema mate, sehemu za siri zitaoza.
Kuna mijusi makazi yao ni kwenye miti, basi tuliambiwa huwa wanaminya korodani na kumtoa ni mpaka shangazi yako aje mtupu.
Ukimeza mbegu za ubuyu, itakuja mea kichwani.
Ukiwa mkubwa utalala sana.
 
Ukisikia harufu ya ubwabwa porini ujue Nyoka anajivua gamba.

Ukimchungulia mtu anakata gogo mzazi wako atakatika matiti

Hutakiwi kula ukiwa umelala ngedere watamaliza mazao shambani

Ukinyoosha kidole makaburini kitaoza

Tulipangwa sana ila ilisaidia kuwa na nidhamu
 
Hivi mtoto wa kikopo ni yupi?
 
Leka ngukubhula😂😆
Nimekumbuka mbalii

Ile ya makatuku yale matonses yanavimba mashavuni ,walisema unatafunia bisi kwenye tundu la choo
Au unaenda kutega hela njiapanda,unatemea na mate..Ukiondoka hapo usigeuke nyuma.
 
Back
Top Bottom