Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

eti kijana/mtoto wa kiume akichakata mbususu ya mwanamke mkubwa njururu inaungua 😅😅 ila sasa Mimi siku hizi napenda wanawake wakubwa na siungui wala nini
20221019_141653.jpg
 
Ukichanjia mpapai mdogo kisha utomvu wake ukapaka kwenye MKUYENGE basi mpapai unapokuwa ndio hivyo hivyo MKUYENGE unakua na kuongezeka maumbile aliyetunga uongo huu Mungu anamuona amesababisha watu kuwa na chale kwenye MIKUYENGE...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukimtaja nyegere kwa jina lake (wakati wa kupambana nae) basi hutaweza kumuua

Ukimtaja nyoka (na wanyama wengine hatari) wakati mpo porini basi atawatokea

Mkiona upepo mkali (kimbunga) basi inabidi muunyooshee kidole ili muufukuze usije upande wa nyumba zenu

Ukila kwa (ncha ya) kisu basi utapatwa na vichomi tumboni

Ukimtishia mtu kisu basi itabidi uchome kisu chini ili kuneutralize laa sivyo utakuja kutekeleza tendo hilo la kudhuru mtu kwa njia hiyo

Ukichoma nywele za mtu basi mtu (mwenye nywele hizo) anakuwa kichaa

Mgambo ana mafunzo makali kuliko wotee!

Jet Li (na kila mwigizaji wa action movies) anajua sana "ngumi" na ana uwezo wa kupigana na watu mji mzima na kuwazidi

Majani ya mti yakikudondokea mikononi (yaani ukiyadaka) basi ni ishara kuwa utapata hela

Sindano inaangusha treni

Radi ni mnyama tena anaogopa kondoo balaa!

Ukichoma chumvi kwenye moto basi bundi ataacha kusumbua mlangoni na kukimbia

Ukimruka mtu harefuki, ukimruka mtu hasa mwenye uhusiano na wewe basi atapata madonda ya miguu

Mjamzito hatakiwi kula mayai

Mtoto mdogo (mchanga) hatakiwi kujitazama kwenye kioo... atapata kifafa

Ukigeuza nguo ya ndani, viatu, shati au vazi lolote ulilonalo basi utaweza kumpa taabu sana BwanaMazingaombwe katika michezo yake

Ukishika yai la bundi kwa naked hand basi litaharibika mara moja

Ukiukamata mchanga kwa kuubana kabisa basi aliyekunyima lifti ataharibikiwa mbele

Ukichana tawi la mti (kikwetu tunauita Mkeregembe) kisha ukachanika katikati basi inaashiria bahati tupu huko uendako... hususani kwenye misosi kuna uwezekano mkubwa sana wa kukuta chakula ulichokipenda ukikute ukifika

Ukifagia usiku, na kuzoa, kisha ukazitupe taka basi ni

...................

Hatahivyo, mambo hayo yanaelezeka na yote yameegemea sehemu mbili
A. Aidha kuna sababu nyingine tu tofauti na iliyotajwa ila ni ngumu kumwelewesha mtu kwa haraka akaelewa hivyo inabidi kumdanganya au kumkatisha tu kwa kumwambia jambo fulani ni MWIKO
Au
B. Kuna sababu za kiimani zaidi juu ya kisemwacho (maswala ya malaika, majini, uchawi, ushirikina na uganga)
 
Anawateteaje?
Nimezaliwa na kukulia Mjini, ila wakati wa likizo ya mwezi wa 6 na 12 ningewasumbua Wazazi kuwa nataka kwenda kumsalimia Babu Kijijini, kilochokua kinanifanya nipende kwenda kwa Babu sio kingine ni Kuchunga Ng'ombe, Mbuzi na Kondoo!

Nikienda Kijijini kwa sababu ya umri wangu mdogo, nilikua napewa Mbuzi, Kondoo na Ndama wadogo kwenda Kuchunga!

Hii siku ambayo sitaisahau, siku hiyo kulikua na Dalili za mvua muda mrefu, nikiwa Polini nikichunga, ghafla nikaona Wanyama wote Wameacha kula Majani wamesimama, kama kuna kitu wanasikiliza, baadaye nikaona Wanyama wote wanakimbia kumfata Dume la Kondoo, Lile Dume liko kwa mbele, Wanyama wote wapo nyuma yake!
Dume la Kondoo limekaa Mkao wa kupigana!

Kwa Utoto wangu nikawa na nashangaa nikijiuliza maswali mengi, kilichowafanya hawa Wanyama wakae nyuma ya Kondoo Dume ni nini?

Kumbe Babu yangu Baada ya kuona hari ile ya Dalili za Mvua (Sijui kama nae alihisi Radi itapiga)
Akaanza kunifata Machungani....!
Nikawa nimemuona akiwa umbali kama mita 100 hivi, na kundi lile la Wanyama lipo umbali kama wa Mita 20 toka nilipo, nikiwa Bado nashangaa, namwona Babu anajaribu kukimbia kuja nilipo huku akiniambia kwa Sauti kubwa "Kimbia kakae nyuma ya Kondoo"

Mimi nikaona huyu Babu anazingua, sasa nikakaae nyuma ya Kondoo ili iweje...!

Babu akarudia kauli yake safari hii ikiwa na msisitizo na Kitusi juu!

Basi ikabidi nitoke mbio nikaenda kusimama nyuma ya lile Kundi ambalo Kondoo alikua mbele yetu, Babu akasema "Chuchumaaaaa"

Nikachuchumaa, nikaona Babu kasimama umbali kama mita 50 hivi akitazama!

Baada ya Muda nikaona Kondoo kaweka Kichwa Vizuri, akasogea mbele kidogo, ilipiga Radi sijawahi kuona!!!

Japo ilipiga kwanza Mwanga, tukawa kama tumemulikwa na Tochi, then ndo Sauti ikaachia!
 
Very interesting, nimefurahia ka story
 
Ukitaka kupona kijipu uchungu jichoni katazame tundu la choo ambacho hujawahi tumia(aisee,harufu zilitunyoosha)
 
Back
Top Bottom