Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Mtoto wa kike kuvunja ungo, niliambiwa ukiukalia ungo ukavunjika ndiyo tayari umeuvunja... Nafikiri Tz ndiyo nchi inayodanganya watoto zaidi.
Tuna laana ya uwongo. Hebu fikiria taifa limedanganywa kwamba mwenge unaleta amani, kwenye mbio za mwenge ndio watu huwa wanagombana hadi kuumizana kwasababu ya wanawake.
 
Sio kila muda tuwe tunakuwa serious sana, acha tuburudike kidogo.

Kondoo anapigana na radi na radi inapigwa.

Radi itakupiga ukivaa nguo nyekundu
Kuhusu Radi, nina uzoefu kidogo kwa nilichoshuhudia Utotoni.....

Kondoo na Baadhi ya Wanyama wanajua Radi itapiga dakika chache kabla, na kukiwa na Kondoo na Wanyama wengine pamoja, Wanyama wote Wanajua Kondoo ndo mtetezi wao kwenye Radi!
 
Anawateteaje?
 
Wee uwongo ni kuhusiana na wanaume tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itakuwa mama alijua kwa tako skonsi uliokuwa nalo lazima wanaume watake kukukula[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uwongo wa shule huo bana[emoji16]
 
Back
Top Bottom