Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Ukichanjia mpapai mdogo kisha utomvu wake ukapaka kwenye MKUYENGE basi mpapai unapokuwa ndio hivyo hivyo MKUYENGE unakua na kuongezeka maumbile aliyetunga uongo huu Mungu anamuona amesababisha watu kuwa na chale kwenye MIKUYENGE...
 
Nikisimama chini ya transformer nitapigwa shot nife
Nilikuwa nikipita chini ya transformer nakimbia. Hadi leo hii napitaga kwa kukazana sana, sijawahi kuamini kama si kweli

Mama bhana
Hii hata mimi nikiona transforma napita mbali[emoji23]
 
Back
Top Bottom