Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Ukichana au kukanyaga kitabu cha msahafu basi hapo hapo utakufa au kuwa kichaa.

Sasa kulikuwa na mwamba mmoja tukiwa primary, kwenye ubishani kuhusu hilo yeye huo mkwara akaamua kuuvunja, akachana kitabu na kukikanyaga hicho kitabu kwa hasira, hakuna kitu kilitokea na maisha yakaendelea mpaka leo.
Angefanya ukubwani angekufa (kwa kuuliwa na wanaomtetea mungu)
 
Back
Top Bottom