Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Taja uongo ulioambiwa utotoni ukaamini kuwa ni kweli

Nimekumbuka mbalii

Ile ya makatuku yale matonses yanavimba mashavuni ,walisema unatafunia bisi kwenye tundu la choo
Au unaenda kutega hela njiapanda,unatemea na mate..Ukiondoka hapo usigeuke nyuma.
Matuse
 
Nimekumbuka mbalii

Ile ya makatuku yale matonses yanavimba mashavuni ,walisema unatafunia bisi kwenye tundu la choo
Au unaenda kutega hela njiapanda,unatemea na mate..Ukiondoka hapo usigeuke nyuma.
Watu wa zamani walikuwa na uwanga fulani
 
1) Ukivunja kioo kimoja unapata gundu la miaka saba.

2) Ukiona kimondo(shooting star) kinapita angani unamake a wish then inakua kweli. Hii bado naifanya mpaka leo, kama kuna wajuvi watuelezee kama ni kweli.

3) Ukipigwa na mwiko utakua mwizi

4) ukigeuza viatu au ndala kisimani utazama au anaechota maji utamchanganya na kupelekea yeye kuzama kisimani.

5) kwenye kundi la marafiki, wale vibonge lazima wawe magolikipa[emoji16]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sitosahau nilivyoambiwa mkiwa na dish la TV nyumbani kwenu basi mtaona sinema za X kwani huko Ulaya hivyo ni vitu vya kawaida sana, yaani baba, mama na watoto mnakaa sebuleni kuangalia watu wakinyanduana
 
NILIAMBIWA KUJENGA BARABARA ZA LAMI NI PESA NYINGII MNOO, MPAKA JPM ALIPOKUA RAIS NDO NIKAJUA KUMBE NILIPIGWA.
 
Back
Top Bottom