Tetesi: Tajiri Alietekwa Anajiandaa Kueleza Dunia Kila Kitu, waandishi Kuitwa Muda wowote sasa

Tetesi: Tajiri Alietekwa Anajiandaa Kueleza Dunia Kila Kitu, waandishi Kuitwa Muda wowote sasa

Yani bavicha wananishangaza sana. Jamani adui yenu ni ccm hawa viongozi ni muda tuu. Magufuli is gone but ccm is still kuwafirigisha. Kuweni na agenda inayoeleweka. Ccm wanawajaza upepo kidogo kwa gia ya kuwa na mpasuko mnajaa, mnasahau agenda ya katiba mpya.
Samahani wewe ni timu wahuni au timu kiroboto?
 
Hawezi sema kitu, ikitokea akisema basi pembeni lazima akae yule polisi mwenye bar kule chanika, ama huyu mmiliki wa sheli na kiwanja flani hivi cha bata ambacho kipo ndani ya kambi ya magwanda kimkakati kwenye barabara aliyozindua mwendazake kabla hajapewa hekalu!
Funguka bro unatuacha hewani
 
tajiri mwenye mlio wa Ng’ombe
Ukishamsikia Ngómbe analia
Mooooooooooooo,
Mooooooooooooo,
Mooooooooooo
"akanyanyua mkia juu, ndugu yangu kimbia!!!!!.....
naomba kuwasilisha
 
Sawa na wengine wote wajitokeze.
Ila Roma wanasema walimfanya kitu kitu kibaya hawezi kusimulia
 
Hawezi sema kitu, ikitokea akisema basi pembeni lazima akae yule polisi mwenye bar kule chanika, ama huyu mmiliki wa sheli na kiwanja flani hivi cha bata ambacho kipo ndani ya kambi ya magwanda kimkakati kwenye barabara aliyozindua mwendazake kabla hajapewa hekalu!
361 Kuna bar pale.
Ebu funguka kidogo acha uoga
 
Hawezi sema kitu, ikitokea akisema basi pembeni lazima akae yule polisi mwenye bar kule chanika, ama huyu mmiliki wa sheli na kiwanja flani hivi cha bata ambacho kipo ndani ya kambi ya magwanda kimkakati kwenye barabara aliyozindua mwendazake kabla hajapewa hekalu!
Hii code imekuwa ngumu mnoo kwangu kuiUnlock mwenye supportive documents tafadhali
 
Hizi ndio habari tunazopenda kusikia na kukaa gizani
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Lusinde una vituko kuanzia bungeni mpk hapa JF
Hahaa kweli wewe nyumbu. Mmepigwa chenga ya mwili mmejaa kila kukicha kumsakama magufuli the dead ambae hana madhara tena kwenu. Kama ccm sio mfumo mbona kila kiongizi akija analinda maslahi ya ccm na sio taifa? Unaakili kwenye masabuli ama?
 
Tajiri anayelia kama ng’ombe naye kasema ili nafsi yake iwe huru kuanzia sasa ataanika kila kitu.
Mambo ndio yameanza hivi itajulikana tu mbivu na mbichi.
Ameahidi kutaja waliosuka mpango mzima wa yeye kutekwa, alipopelekwa, walivodai mambo mbalimbali na sababu ya kutekwa.
Kasema hatoacha kitu kwani alikusanya taarifa za kutosha juu ya sakata lake hilo.
Alianza Zitto, kafuata Mwingira sasa atafuata tajiri mwenye mlio wa Ng’ombe hatoficha kitu na dunia lazima ijue hao watu walikua watu wa namna gani.

Mooooo
 
Back
Top Bottom