Tajiri mzee Bakhressa kama 40% ya wana Yanga SC nchini watasusia kununua bidhaa zako, sisi 60% ya wana Simba SC tutanunua tu

Tanzania hakuna hamasa yoyote ya kudusia chakula au huduma muhimu iliwahi au itakaa ifanikiwe, iwe imetengenezwa na Wana harakaki, wanasiasa au wanasport.haiwezekani kamwe kwa bongo badala yake Wana I markerk iuze zaidi. NJAA HAINA BAUNSA
 
Hata 100% ya wana yanga wakisusia kununua bidhaa za azam nina uhakika azam haitayumba hata kidogo.
Na ukisusa za azam unakutana na za MO sasa utachagua wewe[emoji1]
 
Una maanisha; kumbe hapa nchini kodi halali haimfanyi mfanyabiashara kuendelea! Sasa hapo si ndiyo unawachongea wanaoitoza?
 
Na bado wanategemea wapate mgao toka azam tv ili kujiendesha.... mashabiki wa yanga bwana😭😭😭 ombeni tuwaazime akili kidogo jaman
 
Yani wasusie kununua ngano na maji ya kunywa. leo umetoa boko
 
Nchi imejaa masikini hawezi kutokea MTU akasusia maandazi ya Azam.


Hakuna masikini WA kususia king'amuzi cha Azam cha bei nafuu akanunue DStv yenye Vifurushi vya bei ghali. Ni raia wachache Sana wenye huo uwezo na huwezi kuwakuta Mtandaoni wanatangaza kususia.

MTU anaishi buguruni Kwa mfuga mbwa anashindia miguu na vichwa vya kuku Kwa ufukara Leo anasema atasusia bidhaa za Azam [emoji1787].. it'sa joke


Hao ni Samaki ndani ya maji , kilio Chao machozi yanafyekwa na maji.
 
Kama mmeshindwa kuwashtaki wakina Mwigulu Bakhrresa mtamuweza
 
Kisa mambo ya usajili kwenye mpira! Kama hizi habari ni kweli basi bongo zao zimejaa makamasi
 
Waanze kutoangalia mpira kupitia azam Tv kama wana ubavu.
Sometimes ukishakosa akili unaweza jikuta unatoa kauli mtu akikwambia urudie mara ya pili unaona aibu mwenyewe.
 
Huitaji kugomea biashara zao, kinachotakiwa Kwa mwananchi popote alipo ni kutoa taarifa za ukwepaji wa Kodi ya Serikali Kwa kampuni yoyote ya Azam.
Nina uhakika haitachukua miaka 2 kampuni nyingi kama si zote zitakua zimefilisika.
Wewe kweli ni redio....
 
Huitaji kugomea biashara zao, kinachotakiwa Kwa mwananchi popote alipo ni kutoa taarifa za ukwepaji wa Kodi ya Serikali Kwa kampuni yoyote ya Azam.
Nina uhakika haitachukua miaka 2 kampuni nyingi kama si zote zitakua zimefilisika.
unaripoti wapi unadhani hawajulikani
 
Umesahau yanga ndo inamashabiki wangi
 

Lakini si pesa yao wanayotengeneza kwa akili na nguvu zao wewe nini kinakusumbua. Punguza chuki kwa watu usiowajua. Leo ukiambiwa uoneshe ushahidi namna wanavyokwepa kodi utathibitisha vipi.

Acha chuki, heshimu mafanikio ya mtu, furahia maisha yako ulipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…