Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una maanisha; kumbe hapa nchini kodi halali haimfanyi mfanyabiashara kuendelea! Sasa hapo si ndiyo unawachongea wanaoitoza?Unajua awa Matajiri wanajisahau nakuona watu awaelewi michezo wanayo fanya kuhusu utajiri wao. Matajiri wengi nchi hii hawafanyi biashara Halali, wengi ni wakwepa Kodi na ndio base ya utajiri wao Sasa wanakuja kusumbua jamii Kwa pesa zinazotokana na kui ibia jamii.
Awa Matajiri ukiwabana walipe Kodi Halali bila kuwabambikia wengi hawatoboi na biashara zinakufa kifo Cha Mende.
Sanasana watahamisha mitaji kwenda nchi nyingine yenye chupri.
Ajabu, kumbe kodi yetu hailipiki! Sasa hilo siyo tatizo?Kama serikali ikiwabana matajiri walipe Kodi kihalali sidhani kama GSM ataendelea kufadhili yanga
Na bado wanategemea wapate mgao toka azam tv ili kujiendesha.... mashabiki wa yanga bwana😭😭😭 ombeni tuwaazime akili kidogo jamanHii mitandao imeaminisha wapumbavu kuwa wana nguvu kubwa kuliko uhalisia.
Utakuta jitu lipo kijiweni linashindilia maandazi ya Bakhressa mixer energy drink huku akiangalia mpira kwenye king'amuzi cha azam halafu anakwambia tugomee kununua bidhaa za Bakhressa.
Mtu anashabikia jambo bila hata kujua hizo bidhaa zenyewe ni zipi.
Kuna ushabiki na upumbavu na kwa hapa kwetu wengi ni majuha wanaojiita mashabiki.
Kama mmeshindwa kuwashtaki wakina Mwigulu Bakhrresa mtamuwezaUnajua awa Matajiri wanajisahau nakuona watu awaelewi michezo wanayo fanya kuhusu utajiri wao. Matajiri wengi nchi hii hawafanyi biashara Halali, wengi ni wakwepa Kodi na ndio base ya utajiri wao Sasa wanakuja kusumbua jamii Kwa pesa zinazotokana na kui ibia jamii.
Awa Matajiri ukiwabana walipe Kodi Halali bila kuwabambikia wengi hawatoboi na biashara zinakufa kifo Cha Mende.
Sanasana watahamisha mitaji kwenda nchi nyingine yenye chupri.
Kwanini hao mashabiki wa Yanga wanataka kususia bidhaa za Azam?
Huenda mimi nipo nyuma ya muda au muda ndio upo nyuma yangu,
Kisa mambo ya usajili kwenye mpira! Kama hizi habari ni kweli basi bongo zao zimejaa makamasiNa bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi, Juice, Unga, Chapati, Mafuta na kadhalika.
Sasa kwa mfano Wewe Mzee wa Yanga SC na rafiki yangu mkubwa Said Motisha una Ubavu gani wa kuacha kununua bidhaa zozote za Kampuni ya Azam?
Sometimes Watu wa Yanga SC mna Mambo ya Kitoto na Kipuuzi mno. Jirekebisheni tafadhali sawa?
Mnaboa.....!!!!
Wajinga hawajui wamekalia kuti kavu, wanapiga kelele tu, hizo pesa wanazotoa hao Silent Ocean ni dili tu.Kama serikali ikiwabana matajiri walipe Kodi kihalali sidhani kama GSM ataendelea kufadhili yanga
Wewe kweli ni redio....Huitaji kugomea biashara zao, kinachotakiwa Kwa mwananchi popote alipo ni kutoa taarifa za ukwepaji wa Kodi ya Serikali Kwa kampuni yoyote ya Azam.
Nina uhakika haitachukua miaka 2 kampuni nyingi kama si zote zitakua zimefilisika.
unaripoti wapi unadhani hawajulikaniHuitaji kugomea biashara zao, kinachotakiwa Kwa mwananchi popote alipo ni kutoa taarifa za ukwepaji wa Kodi ya Serikali Kwa kampuni yoyote ya Azam.
Nina uhakika haitachukua miaka 2 kampuni nyingi kama si zote zitakua zimefilisika.
Umesahau yanga ndo inamashabiki wangiNa bahati mbaya ninavyojua ni kwamba 99% ya wana Yanga SC ni Choka Mbaya (Masikini) kama mimi tu GENTAMYCINE hivyo hakuna mwenye Ubavu wa kutokununua bidhaa zako zozote kuanzia Maandalizi, Nazi, Juice, Unga, Chapati, Mafuta na kadhalika.
Sasa kwa mfano Wewe Mzee wa Yanga SC na rafiki yangu mkubwa Said Motisha una Ubavu gani wa kuacha kununua bidhaa zozote za Kampuni ya Azam?
Sometimes Watu wa Yanga SC mna Mambo ya Kitoto na Kipuuzi mno. Jirekebisheni tafadhali sawa?
Mnaboa.....!!!!
Unajua awa Matajiri wanajisahau nakuona watu awaelewi michezo wanayo fanya kuhusu utajiri wao. Matajiri wengi nchi hii hawafanyi biashara Halali, wengi ni wakwepa Kodi na ndio base ya utajiri wao Sasa wanakuja kusumbua jamii Kwa pesa zinazotokana na kui ibia jamii.
Awa Matajiri ukiwabana walipe Kodi Halali bila kuwabambikia wengi hawatoboi na biashara zinakufa kifo Cha Mende.
Sanasana watahamisha mitaji kwenda nchi nyingine yenye chupri.