Ndagullachrles
JF-Expert Member
- Jun 20, 2023
- 256
- 259
Aaahhh hiyo imeenda wanachukua na hataipata tenaaa.....hatamilikishwa teenaaISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi.
mfanyabiashara huyo kwa sasa yupo mikononi mwa polisi kuhusiana na tukio ambalo limekuwa gumzo mjini moshi kutokana na umaarufu wa mfanyabiashara huyo mkazi wa Rau Madukani.
Inadaiwa kijana huyo alikumbwa na mkasa huo muda mfupi mara baada ya kuamua ugomvi wa mfanyabiashara huyo na mke wake .
Inaelezwa kwamba majeruhi huyo baada ya kuamua ugomvi huo na kurejea nyumbani kwake,muda mfupi mfanyabiashara huyo alimfuata kijana huyo nyumbani kwake akiwa na silaha na kumpiga begani.
Inaelezwa kwamba kijana huyo alipambana kunusuru maisha yake na kufanikiwa kumpokonya silaha mfanyabiashara huyo na kwenda kuisalimisha kituo kikuu cha polsi mjini moshi.
Temba Watch amekuwa akilalamikiwa kwa matumizi mabaya ya silaha na inaelezwa katika miaka ya hivi karibuni aliwahi kumjeruhi kwa risasi mkewe lakini hadi sasa bado hajaponywa silaha yake na mamlaka husika.
Nitarudi baadae kukuletea mkasa mzima na maendeleo ya majeruhi hapo KCMC kwani kwa sasa anachukuliwa na madaktari kwa ajili ya kipimo cha X-Ray
Wachaga vichaa!ISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi.
mfanyabiashara huyo kwa sasa yupo mikononi mwa polisi kuhusiana na tukio ambalo limekuwa gumzo mjini moshi kutokana na umaarufu wa mfanyabiashara huyo mkazi wa Rau Madukani.
Inadaiwa kijana huyo alikumbwa na mkasa huo muda mfupi mara baada ya kuamua ugomvi wa mfanyabiashara huyo na mke wake .
Inaelezwa kwamba majeruhi huyo baada ya kuamua ugomvi huo na kurejea nyumbani kwake,muda mfupi mfanyabiashara huyo alimfuata kijana huyo nyumbani kwake akiwa na silaha na kumpiga begani.
Inaelezwa kwamba kijana huyo alipambana kunusuru maisha yake na kufanikiwa kumpokonya silaha mfanyabiashara huyo na kwenda kuisalimisha kituo kikuu cha polsi mjini moshi.
Temba Watch amekuwa akilalamikiwa kwa matumizi mabaya ya silaha na inaelezwa katika miaka ya hivi karibuni aliwahi kumjeruhi kwa risasi mkewe lakini hadi sasa bado hajaponywa silaha yake na mamlaka husika.
Nitarudi baadae kukuletea mkasa mzima na maendeleo ya majeruhi hapo KCMC kwani kwa sasa anachukuliwa na madaktari kwa ajili ya kipimo cha X-Ray
Tajiri hana baya unaingiliaje ugomvi wa wanandoa na bado unailoweka kabisaInadaiwa kijana huyo alikumbwa na mkasa huo muda mfupi mara baada ya kuamua ugomvi wa mfanyabiashara huyo na mke wake .
Nguvu ya pesa waijua wewe?,akirudishiwa hawatatangaza kama walivyotangaza kuichukia.Aaahhh hiyo imeenda wanachukua na hataipata tenaaa.....hatamilikishwa teenaa
Kwamba mikoa mingine hawauani?Wachaga vichaa!
Sina huruma na mafara kama alimnyang'anya angemrudishia ya bega na yeye Kisha angesepaISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi.
mfanyabiashara huyo kwa sasa yupo mikononi mwa polisi kuhusiana na tukio ambalo limekuwa gumzo mjini moshi kutokana na umaarufu wa mfanyabiashara huyo mkazi wa Rau Madukani.
Inadaiwa kijana huyo alikumbwa na mkasa huo muda mfupi mara baada ya kuamua ugomvi wa mfanyabiashara huyo na mke wake .
Inaelezwa kwamba majeruhi huyo baada ya kuamua ugomvi huo na kurejea nyumbani kwake,muda mfupi mfanyabiashara huyo alimfuata kijana huyo nyumbani kwake akiwa na silaha na kumpiga begani.
Inaelezwa kwamba kijana huyo alipambana kunusuru maisha yake na kufanikiwa kumpokonya silaha mfanyabiashara huyo na kwenda kuisalimisha kituo kikuu cha polsi mjini moshi.
Temba Watch amekuwa akilalamikiwa kwa matumizi mabaya ya silaha na inaelezwa katika miaka ya hivi karibuni aliwahi kumjeruhi kwa risasi mkewe lakini hadi sasa bado hajaponywa silaha yake na mamlaka husika.
Nitarudi baadae kukuletea mkasa mzima na maendeleo ya majeruhi hapo KCMC kwani kwa sasa anachukuliwa na madaktari kwa ajili ya kipimo cha X-Ray
Malaika wa Bwana alimuongoza kijana aokoe maisha ya mke.Sasa kama bwana Temba alikuwa na ugomvi na mkewe huyo kijana alikuwa na maslahi gani!?