Yeye hajaingilia mapenzi yeye ameingilia jaribio la kuua au kudhuru mwili wangekuwa wanafanya ngono akaingilia ndo tungesema ameingilia mapenziMasuala ya mapenzi unaingilia...huyo hayakuwa mambo ya kutokana.
Duuh huyo majeruhi kama uliyoyaandika ni kweli basi anastahili pongezi aisee!!ISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi.
mfanyabiashara huyo kwa sasa yupo mikononi mwa polisi kuhusiana na tukio ambalo limekuwa gumzo mjini moshi kutokana na umaarufu wa mfanyabiashara huyo mkazi wa Rau Madukani.
Inadaiwa kijana huyo alikumbwa na mkasa huo muda mfupi mara baada ya kuamua ugomvi wa mfanyabiashara huyo na mke wake .
Inaelezwa kwamba majeruhi huyo baada ya kuamua ugomvi huo na kurejea nyumbani kwake,muda mfupi mfanyabiashara huyo alimfuata kijana huyo nyumbani kwake akiwa na silaha na kumpiga begani.
Inaelezwa kwamba kijana huyo alipambana kunusuru maisha yake na kufanikiwa kumpokonya silaha mfanyabiashara huyo na kwenda kuisalimisha kituo kikuu cha polsi mjini moshi.
Temba Watch amekuwa akilalamikiwa kwa matumizi mabaya ya silaha na inaelezwa katika miaka ya hivi karibuni aliwahi kumjeruhi kwa risasi mkewe lakini hadi sasa bado hajaponywa silaha yake na mamlaka husika.
Nitarudi baadae kukuletea mkasa mzima na maendeleo ya majeruhi hapo KCMC kwani kwa sasa anachukuliwa na madaktari kwa ajili ya kipimo cha X-Ray
Dah umenikumbusha mbali. Dar es Salaam Street, Pasua, Majengo kwa mtei, Soweto, Karanga, KCMC, Technical, VETABabu mikate, Kwa Jaan, Khambaita, Ladak, Plaza cinema, ABC cinema, YMCA, Zaverah, Bora Shoes, Mombasa store, Gopal, Aslam Garage,............... daa longtime sana miaka hiyo kabla ya kuhama kabisa Mo Town.
Swali la kizushi hivi Temba Watch huyu anayechapa watu risasi ndiye yule yule wa miaka ya 80 - 90 au huyu ni kizazi chake kinaendeleza jina na biashara zake?
Kama ni begani huyo alikua na ji ya kuua .ISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi.
mfanyabiashara huyo kwa sasa yupo mikononi mwa polisi kuhusiana na tukio ambalo limekuwa gumzo mjini moshi kutokana na umaarufu wa mfanyabiashara huyo mkazi wa Rau Madukani.
Inadaiwa kijana huyo alikumbwa na mkasa huo muda mfupi mara baada ya kuamua ugomvi wa mfanyabiashara huyo na mke wake .
Inaelezwa kwamba majeruhi huyo baada ya kuamua ugomvi huo na kurejea nyumbani kwake,muda mfupi mfanyabiashara huyo alimfuata kijana huyo nyumbani kwake akiwa na silaha na kumpiga begani.
Inaelezwa kwamba kijana huyo alipambana kunusuru maisha yake na kufanikiwa kumpokonya silaha mfanyabiashara huyo na kwenda kuisalimisha kituo kikuu cha polsi mjini moshi.
Temba Watch amekuwa akilalamikiwa kwa matumizi mabaya ya silaha na inaelezwa katika miaka ya hivi karibuni aliwahi kumjeruhi kwa risasi mkewe lakini hadi sasa bado hajaponywa silaha yake na mamlaka husika.
Nitarudi baadae kukuletea mkasa mzima na maendeleo ya majeruhi hapo KCMC kwani kwa sasa anachukuliwa na madaktari kwa ajili ya kipimo cha X-Ray
Hapo Rau panaonekana pamechangamka sana@turudi rau madukani
Vigeugeu wananata na beat.Kama angemuua mkewe bado ungekuja hapa kulalamika kua watu walimuangalia TU mpaka akamuua kwanini awakuamua ugomvi
Ndo binadamu mlivyo
Kama ndo alikuwa anampakua bibieSasa kama bwana Temba alikuwa na ugomvi na mkewe huyo kijana alikuwa na maslahi gani!?
Usikute ndio yale yale ya "kwenye ndoa zenu kuna wale zetu" 😂😂Sasa kama bwana Temba alikuwa na ugomvi na mkewe huyo kijana alikuwa na maslahi gani!?
Wewe mtetezi wa Isdori hilo jaribio la kuua wakati linatokea huyo jamaa alikuwa wapi na kwanini!? Kwanini alifuatwa nyumbani na jamaa!?Yeye hajaingilia mapenzi yeye ameingilia jaribio la kuua au kudhuru mwili wangekuwa wanafanya ngono akaingilia ndo tungesema ameingilia mapenzi
😀😀😀Usikute ndio yale yale ya "kwenye ndoa zenu kuna wale zetu" 😂😂
Kwani habari umeisoma?Wewe mtetezi wa Isdori hilo jaribio la kuua wakati linatokea huyo jamaa alikuwa wapi na kwanini!? Kwanini alifuatwa nyumbani na jamaa!?
Hata mimi nimejiuliza hivyo! Mzee unayakumbuka mabasi ya kambaita kwa ajili ya kuchukua wafanyakazi wakeBabu mikate, Kwa Jaan, Khambaita, Ladak, Plaza cinema, ABC cinema, YMCA, Zaverah, Bora Shoes, Mombasa store, Gopal, Aslam Garage,............... daa longtime sana miaka hiyo kabla ya kuhama kabisa Mo Town.
Swali la kizushi hivi Temba Watch huyu anayechapa watu risasi ndiye yule yule wa miaka ya 80 - 90 au huyu ni kizazi chake kinaendeleza jina na biashara zake?
Wamiliki wengi wa silaha tz ni wendawazimu na wanazipata kwa shotkut tuSiyo ya kuwa huyo Kijana huwa anadokoa nyama ya mzee, na Na mzee kastuka?.
Si ajabu yeye ndio chanzo cha huo ugomvi wa wanandoa......Sasa kama bwana Temba alikuwa na ugomvi na mkewe huyo kijana alikuwa na maslahi gani!?
Sina huruma na mafara kama alimnyang'anya angemrudishia ya bega na yeye Kisha angesepa