Tajiri Temba Watch amchapa risasi kijana huko Kilimanjaro

Tajiri hana baya unaingiliaje ugomvi wa wanandoa na bado unailoweka kabisa

Chapa moja ya bega kmmk wamebadilishana majengo ya serikali

Wanawake michosho sana.

By the way ni ujinga sana kupigana kisa wanawake

Unamkuta mke mwenyewe ulipomuoa umekuta kashatumika

Kama wewe bingwa watafute waliombikiri na kumtomba kisawasawa mkeo akiwa kwenye ubora wake kabla yako

Temba ngachoka, ngichokie kapisa lanye..
Ngastukaaa😄
 
Inaelezwa kwamba kijana huyo alipambana kunusuru maisha yake na kufanikiwa kumpokonya silaha mfanyabiashara huyo na kwenda kuisalimisha kituo kikuu cha polsi mjini moshi.
Vijana tufanye mazoezi huyu dogo bila kujali kilichonyuma ya tukio alikuwa very Proactive.
 
Tajiri hana baya unaingiliaje ugomvi wa wanandoa na bado unailoweka kabisa

Chapa moja ya bega kmmk wamebadilishana majengo ya serikali

Wanawake michosho sana.

By the way ni ujinga sana kupigana kisa wanawake

Unamkuta mke mwenyewe ulipomuoa umekuta kashatumika

Kama wewe bingwa watafute waliombikiri na kumtomba kisawasawa mkeo akiwa kwenye ubora wake kabla yako

Temba ngachoka, ngichokie kapisa lanye..
Waliomtoba zamani inakuwa haibadiliki tena chukua hivyo hivyo ulivyoikuta
 
85% wanaomiliki silaha bongo
Ni washamba,mazuzu

Ova
 
ISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi.

mfanyabiashara huyo kwa sasa yupo mikononi mwa polisi kuhusiana na tukio ambalo limekuwa gumzo mjini moshi kutokana na umaarufu wa mfanyabiashara huyo mkazi wa Rau Madukani.

Inadaiwa kijana huyo alikumbwa na mkasa huo muda mfupi mara baada ya kuamua ugomvi wa mfanyabiashara huyo na mke wake .

Inaelezwa kwamba majeruhi huyo baada ya kuamua ugomvi huo na kurejea nyumbani kwake,muda mfupi mfanyabiashara huyo alimfuata kijana huyo nyumbani kwake akiwa na silaha na kumpiga begani.

Inaelezwa kwamba kijana huyo alipambana kunusuru maisha yake na kufanikiwa kumpokonya silaha mfanyabiashara huyo na kwenda kuisalimisha kituo kikuu cha polsi mjini moshi.

Temba Watch amekuwa akilalamikiwa kwa matumizi mabaya ya silaha na inaelezwa katika miaka ya hivi karibuni aliwahi kumjeruhi kwa risasi mkewe lakini hadi sasa bado hajaponywa silaha yake na mamlaka husika.

Nitarudi baadae kukuletea mkasa mzima na maendeleo ya majeruhi hapo KCMC kwani kwa sasa anachukuliwa na madaktari kwa ajili ya kipimo cha X-Ray
Temba Watch amempiga risasi Temba!?
 
ISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi.
Temba kampiga Temba, sijui ingekuwaje angekuwa Kitomari
 
Mmiliki wa silaha anatatizo la "afya ya akili".
 
Arusha na Moshi waliochukua silaha miaka ya nyuma enzi hizo wana mpunga sasa hivi wamebaki kutishia tu watu hela hawana ila wana siraha pana jamaa mmoja yupo Arusha maeneo ya mnara wa mwenge hapo ni mlevi tu hata mia hana sasa hivi alikua busy na madini ila kapoteza ramani kabaki na silaha tu na muda wote yupo nayo kama pana kitu anajilinda kumbe hamna kitu...
 
ISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi.

mfanyabiashara huyo kwa sasa yupo mikononi mwa polisi kuhusiana na tukio ambalo limekuwa gumzo mjini moshi kutokana na umaarufu wa mfanyabiashara huyo mkazi wa Rau Madukani.

Inadaiwa kijana huyo alikumbwa na mkasa huo muda mfupi mara baada ya kuamua ugomvi wa mfanyabiashara huyo na mke wake .

Inaelezwa kwamba majeruhi huyo baada ya kuamua ugomvi huo na kurejea nyumbani kwake,muda mfupi mfanyabiashara huyo alimfuata kijana huyo nyumbani kwake akiwa na silaha na kumpiga begani.

Inaelezwa kwamba kijana huyo alipambana kunusuru maisha yake na kufanikiwa kumpokonya silaha mfanyabiashara huyo na kwenda kuisalimisha kituo kikuu cha polsi mjini moshi.

Temba Watch amekuwa akilalamikiwa kwa matumizi mabaya ya silaha na inaelezwa katika miaka ya hivi karibuni aliwahi kumjeruhi kwa risasi mkewe lakini hadi sasa bado hajaponywa silaha yake na mamlaka husika.

Nitarudi baadae kukuletea mkasa mzima na maendeleo ya majeruhi hapo KCMC kwani kwa sasa anachukuliwa na madaktari kwa ajili ya kipimo cha X-Ray
Temba na Temba
 
Inaelezwa kwamba kijana huyo alipambana kunusuru maisha yake na kufanikiwa kumpokonya silaha mfanyabiashara huyo na kwenda kuisalimisha kituo kikuu cha polsi mjini moshi.
Kuna walakini na hii habari, kuna taarifa zimefichwa kwa makusudi au kwa lengo maalumu.
 
Back
Top Bottom