Tajiri Temba Watch amchapa risasi kijana huko Kilimanjaro

Ni ujinga tu hujawashika live wakizombana kitandani kwanini uwachape risasi. Hata kama ungewakuta live kwanini usi deal na mke wako u ana deal na mwanaume mwenzako.


Utachapa wanaume wangapi risasi kisa mke wako



 
Atakuwa huyo kijana alizoeana na mke wa jamaa, labda jamaa kagundua mchezo wake mbio mbio kuamulia ugomvi. Ingekuwa usiku mke analia sauti inatokea chumbani kwao je angeenda kuamulia huko? Au angejua wanagombana au Wana mambo yao...ameng'amuaje??. Utulivu katika kuamua ugomvi unahitajika, unamuomba mtu mwengine ili muwe wawili au zaidi ndipo muamulie ugomvi...usikimbilie mbio utakufa wewe alafu wenyewe wanabaki hai😂
 
SHIDA ya HIZI taarifa huwa hazija kamilika UNAWEZA jipeleka kihelehele kuchangia BADAE unasikia mengne TENA hivo ongeza NYAMA. Amemfuata KWAKE JE HUYO tajiri ALIKUA anapajua KWAO na kijana so wanapatana SIO basi mambo ya kuchapiwa
 
Kwanini wasimnyang'anye hiyo silaha, yeye anapambana na familia yake badala ya watu wanaotaka kumdhuru maisha yake
 
Huyo jamaa vipi haudhulii vikao vya wanaume,

Mwanamke alindwi kwa bastola sasa utapiga wangapi, Boya sana huyo jamaa na kwa taarifa atachapiwa sana.

Mwanamke anataka kushughulikiwa wewe unajifanya uko busy kutafuta pesa, ngoja wahuni wamsaidie .
 
Hiyo silaha itakuwa tu made in china ndo maana haikuleta madhara makubwa kama kifo
 
  1. Samia HANA MENO.
 
Huyu Temba Watch kumbe bado yupo, vp Panjwan, maana maduka ya electronics ya zamani maarufu ni kwa Temba Watch na Panjwan
Babu mikate, Kwa Jaan, Khambaita, Ladak, Plaza cinema, ABC cinema, YMCA, Zaverah, Bora Shoes, Mombasa store, Gopal, Aslam Garage,............... daa longtime sana miaka hiyo kabla ya kuhama kabisa Mo Town.

Swali la kizushi hivi Temba Watch huyu anayechapa watu risasi ndiye yule yule wa miaka ya 80 - 90 au huyu ni kizazi chake kinaendeleza jina na biashara zake?
 
Na yeye angetenganisha goti. Meku kawa mzembe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…