Ngastukaaa😄Tajiri hana baya unaingiliaje ugomvi wa wanandoa na bado unailoweka kabisa
Chapa moja ya bega kmmk wamebadilishana majengo ya serikali
Wanawake michosho sana.
By the way ni ujinga sana kupigana kisa wanawake
Unamkuta mke mwenyewe ulipomuoa umekuta kashatumika
Kama wewe bingwa watafute waliombikiri na kumtomba kisawasawa mkeo akiwa kwenye ubora wake kabla yako
Temba ngachoka, ngichokie kapisa lanye..
Vijana tufanye mazoezi huyu dogo bila kujali kilichonyuma ya tukio alikuwa very Proactive.Inaelezwa kwamba kijana huyo alipambana kunusuru maisha yake na kufanikiwa kumpokonya silaha mfanyabiashara huyo na kwenda kuisalimisha kituo kikuu cha polsi mjini moshi.
Waliomtoba zamani inakuwa haibadiliki tena chukua hivyo hivyo ulivyoikutaTajiri hana baya unaingiliaje ugomvi wa wanandoa na bado unailoweka kabisa
Chapa moja ya bega kmmk wamebadilishana majengo ya serikali
Wanawake michosho sana.
By the way ni ujinga sana kupigana kisa wanawake
Unamkuta mke mwenyewe ulipomuoa umekuta kashatumika
Kama wewe bingwa watafute waliombikiri na kumtomba kisawasawa mkeo akiwa kwenye ubora wake kabla yako
Temba ngachoka, ngichokie kapisa lanye..
NdiyoKwani ukiona mtu anauwawa huwezi kutoa msaada kisa huyo mtu hakuhusu?
Shida ndiyo inaanzia hapo.Mme na mkewe wanagombana, wewe unaingilia ugomvi kwani unamgonga mke wake au?🤨
Kama angemuua mkewe bado ungekuja hapa kulalamika kua watu walimuangalia TU mpaka akamuua kwanini awakuamua ugomviSasa kama bwana Temba alikuwa na ugomvi na mkewe huyo kijana alikuwa na maslahi gani!?
Temba Watch amempiga risasi Temba!?ISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi.
mfanyabiashara huyo kwa sasa yupo mikononi mwa polisi kuhusiana na tukio ambalo limekuwa gumzo mjini moshi kutokana na umaarufu wa mfanyabiashara huyo mkazi wa Rau Madukani.
Inadaiwa kijana huyo alikumbwa na mkasa huo muda mfupi mara baada ya kuamua ugomvi wa mfanyabiashara huyo na mke wake .
Inaelezwa kwamba majeruhi huyo baada ya kuamua ugomvi huo na kurejea nyumbani kwake,muda mfupi mfanyabiashara huyo alimfuata kijana huyo nyumbani kwake akiwa na silaha na kumpiga begani.
Inaelezwa kwamba kijana huyo alipambana kunusuru maisha yake na kufanikiwa kumpokonya silaha mfanyabiashara huyo na kwenda kuisalimisha kituo kikuu cha polsi mjini moshi.
Temba Watch amekuwa akilalamikiwa kwa matumizi mabaya ya silaha na inaelezwa katika miaka ya hivi karibuni aliwahi kumjeruhi kwa risasi mkewe lakini hadi sasa bado hajaponywa silaha yake na mamlaka husika.
Nitarudi baadae kukuletea mkasa mzima na maendeleo ya majeruhi hapo KCMC kwani kwa sasa anachukuliwa na madaktari kwa ajili ya kipimo cha X-Ray
Temba kampiga Temba, sijui ingekuwaje angekuwa KitomariISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi.
Hapana inatakiwa utoe msaada ndo maana watu wengi wanatekwa na kuuawa mbele ya macho yetu kwa dhana kama yakoNdiyo
Tako ndo linalozaa ? Au kugongwa ?Ukute mke mwenyewe hata tako hana
Temba na TembaISIDORI Temba yupo kitandani ghorofa na pili Hospital ya rufaa ya Kanda ya KCMC akiendelea na matibabu ya jeraha la risasi analodaiwa kupigwa na mfanyabiashara muuza vifaa vya kielektloniki la Temba Watch lililopo Double Road mjini moshi.
mfanyabiashara huyo kwa sasa yupo mikononi mwa polisi kuhusiana na tukio ambalo limekuwa gumzo mjini moshi kutokana na umaarufu wa mfanyabiashara huyo mkazi wa Rau Madukani.
Inadaiwa kijana huyo alikumbwa na mkasa huo muda mfupi mara baada ya kuamua ugomvi wa mfanyabiashara huyo na mke wake .
Inaelezwa kwamba majeruhi huyo baada ya kuamua ugomvi huo na kurejea nyumbani kwake,muda mfupi mfanyabiashara huyo alimfuata kijana huyo nyumbani kwake akiwa na silaha na kumpiga begani.
Inaelezwa kwamba kijana huyo alipambana kunusuru maisha yake na kufanikiwa kumpokonya silaha mfanyabiashara huyo na kwenda kuisalimisha kituo kikuu cha polsi mjini moshi.
Temba Watch amekuwa akilalamikiwa kwa matumizi mabaya ya silaha na inaelezwa katika miaka ya hivi karibuni aliwahi kumjeruhi kwa risasi mkewe lakini hadi sasa bado hajaponywa silaha yake na mamlaka husika.
Nitarudi baadae kukuletea mkasa mzima na maendeleo ya majeruhi hapo KCMC kwani kwa sasa anachukuliwa na madaktari kwa ajili ya kipimo cha X-Ray
Masuala ya mapenzi unaingilia...huyo hayakuwa mambo ya kutokana.Hapana inatakiwa utoe msaada ndo maana watu wengi wanatekwa na kuuawa mbele ya macho yetu kwa dhana kama yako
Kuna walakini na hii habari, kuna taarifa zimefichwa kwa makusudi au kwa lengo maalumu.Inaelezwa kwamba kijana huyo alipambana kunusuru maisha yake na kufanikiwa kumpokonya silaha mfanyabiashara huyo na kwenda kuisalimisha kituo kikuu cha polsi mjini moshi.